Recent content by KAJOKELA

  1. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Bariadi, Simiyu: DC atoa siku 7 kwa Wafanyakazi wa hospitali kuchanga fedha na kununua mashine ya Ultra Sound iliyoibiwa

    Yuko sahihi kabisa kwa sababu mashine hiyo iliyopotea inasemekana wahusika ni watumishi wa hospitali hiyo,ila tu labda angewakata hata awamu tatu ili kupunguza ukali wa maisha
  2. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Gharama halisi ya Affidavit.

    Affidavit form inapatikana bure bila malipo,hao wanaoomba pesa ni rushwa ya wazi kabisa
  3. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kuua kicheche

    Fuga mbwa hawatasogea
  4. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Faidika/letshego kwanini mnasumbua wateja wenu pindi wakitaka loan settlement report?

    Hawa watu siyo wazuri huduma zao ni mbovu sana tanzania nzima
  5. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Hotel aliyolala Rais Magufuli wakati wa kuweka jiwe la msingi Stieglers Gorge

    Acha uchonganishi mkuu
  6. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko lawamani kwa kutowalipa Polisi waliokamata Madini Namanga

    Ndiyo kazi yao,haihitaji motisha,mshahara na posho zinatosha
  7. KAJOKELA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni afadhali angeshinda hata home basi
  8. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ziara ya rais Magufuli gerezani Butimba

    Mhalifu ni mtu wa kulalamika tu siku zote,wapo waliokili wakafungwa hiyo 30,walipoanza kutumikia vifungo vyao wakapata wanasheria wakaanza kukata rufaa,hawa watu si wakuwaamini asilimia mia moja
  9. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Ifahamu nchi ya Bhutan na maajabu yake

    Dini gani?
  10. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Askari wakistaafu wanapata tabu sana. Nimemkuta OC-CID anauza chips hapa Chalinze

    Huyo mtoa post ni askari wa jeshi la polisi Tanzania,analengo la kumdhalilisha askar mwenzake
  11. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Askari wakistaafu wanapata tabu sana. Nimemkuta OC-CID anauza chips hapa Chalinze

    Hiyo ni miradi kama miradi mingine,ulitaka awe anashida kwenye bar ndiyo aonekane ana pesa,usipende kujadili maisha ya watu,pengine huyo unayemcheka anamaisha mazuri kuliko hao wengine unaowajua
  12. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Bi.Afya abeba mizani kwa kosa la kukuta nyama nje ya mabucha

    Hajakosea anafuata utaratibu
  13. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa kampuni ya usafirishaji abiria mabasi ya Dar Lux toka Mwanza-Dar

    Muda si mrefu yatakuwa kama mohammed trans
  14. KAJOKELA

    JamiiForums Tanzania Vodacom nimewachoka

    Hawa jamaa wana upendeleo sana
Back
Top Bottom