Kiujumla US ni taifa lenye wanasayansi wenye kiburi sana yaan.huwa hawataki kushindwa.hivyo kwa ushindi ambao korea kaskazini wameuchukua.waanze kujipanga.kwani kunakitu kinaandaliwa US ili kuulinda ushindi wao.
Ebu tuache mambo yakipuuzi bas.wewe unaedhani CV yako itakutimizia ndoto zako.kaa usubiri sasahivi ukiritimba kila kona.sisi tunaojifanya tunama CV ya kukata kwa shoka ndo ambao tunaishia kuajiriwa na wasio na CV.tupige kazi tuu wakubwa.maisha niujanja ujanja tuu,sasahvi.Mimi kiukweli na mpa...
Kwa ushauri wangu wabure.bado una mda kijana,kwa umri huo fight for life kwanza.ukifika 27 au 28 hv ndo anza kufikiria kuoa.lasivyo ukipaparika kwa sasa utaishia kuteseka kisaikolojia na Wenda wakakuharibia maisha yako kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.