Naomba ushauri Boxer na TVS , ipi nzuri?

TVS King si bajaji?

Boxer ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya mjini kusiko na mchanga hafu usiwe unabebea mizigo mikuwa. ZInawahi sana kuchakaa.
 
OK lakini kuna pikipiki zinaitwa TVS kwa sasa.na dhani ni kampuni moja.
 
tvs nzur kwa mafuta umbo na mvuto ni boxer kuhusu uimara cjui ipi ni bora
 
Boxer sio imara sana.,ukiwa mtu wa safari ndefu inachoka haraka na spare zake ziko juu mno..,kama ni mtu wa shughuli za pori.,Sanlg au Haojen ndio ziko vzr.,
 
Back
Top Bottom