Recent content by kajima

  1. kajima

    Mtozi Alloyce Nyanda: Kuna watu wanamtumia Swai kumchafua Sabaya?

    Swai ni ukoo bora utumie majina yake yote. Asante
  2. kajima

    Ungekuwa Rais Samia nani ungeanza kumtimua?

    Aanze na Wizara ya afya
  3. kajima

    DC Gondwe: Tunajenga Flyover tatu Chang'ombe mataa, Uhasibu mataa na Buza. Hakuna kama CCM lazima tukubali!

    Jibi hoja sio kuwa na akili fupi za kwenda chooni, sina affiliation na chama chochote idiot.
  4. kajima

    DC Gondwe: Tunajenga Flyover tatu Chang'ombe mataa, Uhasibu mataa na Buza. Hakuna kama CCM lazima tukubali!

    Inaonyesha pia wanajua kusimamia matumizi sahihi ya kodi, Serikali isiyo makini ingeweza kutapanya au kupeleka kwenye matumizi yasiyo na mabadiliko chanya.
  5. kajima

    Naunga mkono wazo la Uzalendo lililotolewa na Rais kuwa umesomeshwa na Serikali basi nenda kawatumikie Wananchi

    Basi tuwaboreshee maslahi, hakuna binadamu asiyetaka maisha bora na wewe ukiwemo.
  6. kajima

    Suala la 'viboko' kwanini waathirika wakuu wa kadhia hii ni walimu wa shule za msingi?

    Yaani ukimgusa wa kwetu huo ugomvi nanunua. Nitaanza lobbying ya nafasi yako then nadeal na wewe mtaani.
  7. kajima

    Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

    Tulipofika kama nchi inasikitisha lakinj acha tupelekwe kama gari bovu mpaka tupate akili upya. Its sickening kuangalia uvunjaji wa wazi wa katiba.
  8. kajima

    Jimbo la Tigray Ethiopia limeonesha ubaya wa utawala wa majimbo Tanzania

    USA ni mfano mzuri wa majimbo. Watu waache upumbavu wa kushambulia sera sababu hazitoki CCM.
  9. kajima

    Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

    Itakuwa hivyo kama ndani ya CCM hawatakubali wenyewe wenye connection na deep state. Shida karata ya kupoteza control ndio itakayokuwa mwanzo wa anguko.
  10. kajima

    Waenda jela miaka 30 kwa unyang’anyi kutumia silaha

    Tunahitaji kurudi ubaoni na kufikiria upya. Tumetengeneza watu wa ovyo sisi wenyewe kama nchi.
  11. kajima

    Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Ni aibu kwa Tanzania kutokuwa mstari wa mbele katika hili...ni hivi akili nzito dhidi ya nguvu nyingi milele akili zitashinda.
  12. kajima

    Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenan ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Dkt. Magufuli jijini Dodoma

    Aruhusiwe hakuna cha kugain kwa kumzuia na hakuna cha kupoteza kwa kumruhusu.
  13. kajima

    Mbowe: Tumeitikia wito wa kuripoti Polisi lakini hatujui zoezi hili litaisha lini, tumetimiza wajibu!

    Sio wajinga, ukisoma katiba wana haki ya kuandamana, hakuna kosa kikatiba.
  14. kajima

    Siri ya Marekani kuingilia Uchaguzi mkuu wa Tanzania

    Nakubaliana kuwa Marekani yupo kwa ajili ya Marekani.
Back
Top Bottom