Nadhani MZIBHAZI umeshafanya maamuzi manake ushauri ni mwingi sana na wa kutosha...
kwa nini wadau (mnaoendelea kuchangia hadi leo) msianzishe uzi mwingine wenye KICHWA CHA HABARI kinachoendana na uchangiaji wenu?
Ishu inayoletwa humu kwa uelewa wangu inatakiwa iguse watu zaidi ya wawili na...
Nakuunga mkono mkuu...unapotukana badala ya kufafanua na kuboresha uzi ili jamii ieleweke unaonekana wewe ndio mkurupukaji au una uhusiano wa karibu na waliotajwa manake umeonyesha hasira za waziwazi. Hebu kwa mwaka huu tumieni hoja zaidi kuliko matusi...mtaheshimika. vinginevyo huwezi kuonekana...
Ninavyofahamu mimi ni kwamba kama katiba pendwa kezwa haitapita basi yatafanywa marekebisho katika ibara muhimu ikiwemo muundo wa Tume ya Uchaguzi...sijui watarekebisha nini ila walisema itaendana na matakwa ya wananchi...labda wadau wenye uweledi na masuala haya watujulishe kwanza tujue TUME...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.