Kikundi cha WAADU kinahitaji madereva waaminifu , na wanaoweza kutunza pikipiki vizuri, kwa wiki kila mmoja atatakiwa kutoa elfu arobaini(40) na kila jumapili mkurugenzi atasimamia umwagaji wa oil.
Sifa za mwombaji
1, Awe ana leseni na cheti cha udereva kutoka chuo kinachotambulika na serikali...