Recent content by Kaity

  1. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kagera nije iringa, mbeya,njombe au songea 0768915077 0755831839 0652891337
  2. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa walio pata ajira za ualimu This year.. Natafuta mtu anaye taka kuhamia Kagera - karagwe mie nataka kuhamia mikoa ya Njombe,Iringa; Mbeya (wilaya yoyote); au wilaya ya songea; Mvomero au Morogoro Mjini Ahsante Mawasiliano..0768915077,0755831839
  3. K

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa aiongoza CHADEMA kushambulia Njombe

    Mwenye CV ya Dady Igogo plz naiomba
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimepata kazi baada ya kumaliza chuo

    Hongera Mungu ni muweza
  5. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi Kwa Ndugu Philip Mangula (MCC & MNEC & Rtd. SG CCM)

    duu.jamaa anaawataka watumia pesakuisaka dola wapitee dii
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa update waliofanya interview Mzumbe

    economics;mktng;law..uliomba TA.. AL..au lecturer post?.maana naskia kuna post wameitwa na zngne level bado in the same coz
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa update waliofanya interview Mzumbe

    Uliomba post ipi...na coz gani..coz kuna coz hawajawaita bado
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi tutorial assistant (BBA Marketing)

    Asante saana Mdau. for the updates.. nime hitimu mwaka jama july
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi tutorial assistant (BBA Marketing)

    Nina Bachelor ..2nd upper (4.3) .MZUMBE mbeya campus..nipo tiyari hata ku volunteer ili nipate uzoefuu..nina lenga ku develop career ktk academic..reseach na consultancy field. Thax wana jamii forum
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi tutorial assistant (BBA Marketing)

    Natafuta kazi..ya u tutor ktk college /university please..mwenye updates tafadhari ...lets share....
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba wanajamvi mnisaidie jinsi ya kumpata mfadhili.

    Zcheki taasisi za makanisa na kuapil
Back
Top Bottom