Recent content by kailembo milton

  1. K

    Kwa heri voda,tusijuane

    kweli voda maudhi matupu,siku zote hizi tunahangaika,si kupiga simu,M-pesa yote balaaa! Kagueni mitambo yenu bana.
  2. K

    You Entrepreners, Ni kwa nini Wagiriki walikuwa wakichoma Meli zao Moto? Vipi wewe waweza Choma?

    Mkuu,nimekupata Mwenyezi Mungu awe pamoja nasi,maana kuchoma meli zetu ni tendo la Imani.bila shaka tutashinda
  3. K

    Machine ya maxmalipo inauzwa

    mkuu mi nahitaji ila naomba kwanza unifafanulie faida ya kutumia max malipo na hasara zake zinaweza tokea vipi.na nitatakiwa kuweka shilingi ngapi ili kuanza biashara.my contact 0768758877
  4. K

    Josephine Mshumbusi unainajisi CHADEMA. Tafadhali na tuchore mstari, tuseme yatosha sasa!

    kweli@huyu mama atulie nyumbani,asilete kihelehele,mi ni mwana chadema lakini ananikera! Naomba achukue mfano wa mama maria nyerere.mama tunakuheshimu,ila sasa itafika mahali tutakupa makavu live! Wewe ni mama wa Rais wetu tulia nyumbani uwe na hekima na busara utatunza heshima yako,mumeo na...
  5. K

    Zitto Kabwe anaweza kuwa candidate mzuri kwa nafasi ya urais kupitia CHADEMA

    zito amechokwa,pumba zake apeleke kwa ma ccm wenzake wanaomsifia! Mchukueni ccm agombee urais kwa tiketi ya ccm!
  6. K

    Zitto atoa ya moyoni mchakato wa katiba na kelele za kisiasa kuhusu katiba

    we zito ni mnafiki! Kilicho mponza Lucifer kuwa shetani milele unakijua?
  7. K

    Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

    Askofu kakobe,hana kosa yeye amteuliwa na Mungu kufundisha haki na kuitetea.nyie mnaompinga hamjui hata historia za mitume na manabii walio kuwa wanaharakati.tatizo ccm imeisha wapumbaza sana! Watumishi wa mungu kabisa ya kuonyesha njia sahihi kwa jamii zao ktk nyanja zote,kijamii,kiroho,kisiasa...
  8. K

    Mafuta ya Alizeti nayo hatari kwa afya - TFDA

    Hapa ni wenye viwanda na wafanya biashara wakubwa,wamewapa kitu kidogo ili watuenezee uongo,ili wajasiria mali wadogo bidhaa yao isinunuliwe.wazushi tu hawana lolote!lakini ndo serikali ya magamba ilivyo ni kukandamiza mtu wa chini asitoke.
  9. K

    Nimefanya Maamuzi magumu kuwasaidia vijana wenzangu!

    pamoja sana waungwana,mi pia nimefanikiwa kukusanya kamtaji kidogo baada ya ajira ya miaka 5 niko kagera- muleba nahitaji mtu wa kushirikiana naye ktk kuanzisha mradi au biashara.naomba ushauri wenu na ushirika wa pamoja.
  10. K

    NSSF Mwanza ni mafisadi au ni system za serikali?

    wakikuzungusha sana nenda kwa mkuu wa mkoa,ye si mwakilishi wa rais komaa naye hakuna kutoka hadi upatiwe haki zako.
  11. K

    Jukwaa la Katiba USO kwa USO na CHADEMA, CUF NA NCCR MAGEUZI leo ...picha.

    Safi sana,tupo pamoja nanyi,Mwenyezi mungu atatutangulia hadi haki za watanganyika na wazanzibar zipatikane. Mwisho wa magamba umetimia,wamebakia na maonyesho ya wachina majukwaani.
  12. K

    This is what you should invest in your area if you have no idea in any business.

    nitashukuru kaka,contact namba yangu ni 0768758877au email:miltonjacob909@yahoo.com
  13. K

    This is what you should invest in your area if you have no idea in any business.

    Nashukuru mkuu,mi nipo wilaya ya Muleba.ninaishi tarafa ya nshamba kuna population kubwa na waweza kuhamasishwa kutumia gas.mtaji huo naweza kuupata naomba ushauri nifanyeje kuweza kuwa wakala wenu.chumba cha biashara ninacho.japo kwa huku inaweza kuwa biashara mpya kwa walio wengi, hivyo...
  14. K

    M-Pesa ni Gharama Sana ! , Soma Hii Muhimu

    pamoja na kuwa ghali lakini imekuwa msaada mkubwa hasa kwetu sisi tuishio vijijini.hizo bank hatuzijui wala hiyo tigo
  15. K

    Mh. Lissu atunukiwe honorary degree (yaani PhD) ya kutetea haki za binadamu-Toa maoni yako

    Lissu anastahili hiyo heshima@maana kaonyesha utetezi wa kweli kwa ajili ya watanzania na tumepata kuelewa mambo mengi ya kisheria na haki kupitia kwake.
Back
Top Bottom