Recent content by Kai Marcel

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nataka nifungue Stationery Nianze na vifaa vipi ihali nina mtaji wa 900,000?

    Kila la kheri, kumbuka kuweka kumbukumbu za biashara. Usitoe kitu bila kukirekodia na usifanye biashara kichaa!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

    Umaarufu ni kitu kizito, japo haifahamiki kwa hakika alifanya nini (Dayandimo) akiwa na Sean "P Diddy/Puff Dady" Combs bado kuna shaka linaibuka.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

    Kuna tweet moja kule kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) imepostiwa ikidahi bado watu wawili ambao ni Jay Z na Oprah Winfrey madudu yao hayajafunguliwa! The clock is still ticking!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imzuie Askofu Gwajima kutumia bendera ya Israel ktk kanisa lake

    Kuna baadhi ya makanisa wanaambiwa na watumishi wao "askofu, wachungaji, mitume, manabii na walimu" waiombee Israel inapopigana na Palestine.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

    Pole kijana, piga U-turn ya haraka sana. Demu akibanjuliwa na mwingine kiasi cha kutiwa mimba hauna chako hata kidogo. Huruma itakuponza, ACHA KABISA, NDOA NI SCAM!!🚫❗️
  6. K

    JamiiForums Tanzania JamiiCheck yashinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge

    Kule tunalishwa matango pori na simulizi za kweli.
  7. K

    JamiiForums Tanzania JamiiCheck yashinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge

    Kongole kwa Jamiiforums na wafanyakazi wake wote!
Back
Top Bottom