Recent content by kaholya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama lazima ung'oke 2015!

    teteh,deodatus kamala alipowambia mle nyani mkachukia,poleni sana! bora muendelee na huyo airhostess au barmade wa airtanzania maana hamtawezana na wasema kweli
  2. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA sasa kuisambaratisha ACT na kuiwezesha CCM kupeta kiulainiii

    Pathetic ideas
  3. K

    JamiiForums Tanzania ITV hawajui wakifanyacho Kwa Kufanya Siasa Chafu kupitia TV yao!

    ni house boy wa Nape mtoto wa merehemu moses nnauye, huyo baba alikuwa mwanaminifu na sio mchumia tumbo kama mwanae,ngoja iko siku atajutia maana bila shaka raisi ajaye hatakuwa upande wake
  4. K

    JamiiForums Tanzania James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    Wow ruge mmwaaaa,i just like the way you handle things,oga you are just smart meen!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Hii ni copy paste kaongeza hayo ya mwisho nadhani muhongo ndo kamtuma wasemavyo wengi tarehe 30 desemba 2014 nilijua rasmi muhongo ni poor ktka mawasiliano pale alipokuwa anajibuwananchi,tafuta tbc muhutasari habari saa saba au saa kumi tarehe tajwa alikuwa serengeti kama sikosei
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Reginald Mengi: Tanzania kuwa nchi ya pato la kati kabla ya 2025 ni Uongo

    mwenye kipato cha...ni balozi Ami mpungwe aliyewekeza huko mererani,yeye kama diplomat alifaidika na matunda ya kujiconnect na makaburu then pinda kama kawa alimtumia kufund raise uchangiaji wa madawati kupitia wakili tajiri asiejinadi kupitia makesi kama mkono mama majaari,teh teh kuna makatibu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    nampenda EL,ila sijui mema wala mabaya yake,sina uwezo wa kuthibitisha any side
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la ESCROW bado bichi: Dk. Slaa anasa mawasiliano ya James Rugemalira na Mkuu

    CCM imekosa mvuto
  9. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Muziki wa CHADEMA mtauona....

    Mbowe ni habari ya mjini
Back
Top Bottom