Recent content by Kahinda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ajipanga kukazia hukumu dhidi ya Musiba

    Duh hii ndo Bongo. Ndugu zangu tupate shule kwamba kuna Kesho usiyoijua. Kwa jeuri aliyekuwa nayo Msiba ni mtu wa kujificha kweli. Funzo gani tunalopata hapa ? Tujue kuna Kesho. Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mteue Ubunge Prof. Mussa Assad Kisha mteue awe waziri wa Fedha na Mipango

    Mkuu Hapo nadhani unashindwa kutofautisha mtu kuwa na "Confidence " na hali ya kuwa na "Arrogance ". Nisameheni maneno hayo sina kiswahili chake kizuri. Prof Assad alikuwa na Confidence ya anacho kijua, kifanya. Japokuwa walionekana mkorofi hasa kwa wale miungu watu. 2. Arrogance ni pale...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

    Hakuna kozi inayotufundisha kukalili note. Angeonyeshwa noti ya elfu kumi akashindwa kuitambua hapo ningemtilia mashaka. Otherwise sioni tatizo hapo. Kama siyo matatizo yetu sisi wabongo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Kwa bahati nzuri mimi pia ni muha. Tena kuva kibondo hivyo tafakari ujumbe kabla huja jibu
  5. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Kwanza kwa mtu aliye na Common sense atajua kuwa unaokota taarifa usizojua au unapewa hadithi na kisha una fabricate. Utaandikaje eti" mzee mmoja unayedhani ni mzanaki"? Kwa nini huja research taarifa yako ukajua jina na unaandika nini. Huo ndio watu wazima wana uita uzushi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Acha hadithi za alinacha naomba unipe ushahidi mimi nimekuahidi ushahidi ninao. Mutashi anachunga kanisa gani?. Acha kudanganya wasio jua nani mchg Bugando. Naomba hukumu ambayo mahene alishindwa, tuonyeshe umma yako na ya kwangu ipi sahihi? Jaji gani alihukumu. Acheni kudanganya watu waambieni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Unaweza kumzuia ndege kuweka kiota juu ya kichwa chako,lakini huwezi mzuia kuruka juu ya kichwa chako. So nadhani una haki ya kuamini hivyo na mimi nina haki ya kukuruhusu uamini unacho amini.
  8. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Walioenda Takukuru qao pia wana matatizo yao. Walichofanya ni kufumua mambo yanayoendelea ndani ya dhehebu hili. Kama nilivyosema hivi sasa wachungaji wachache sana ambao wako committed walio wengi ni masilahi. Hata baadhi ya walioenda Takukuru siyo wote wenye nia ya kujenga kuna wengine wapo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Mkuu uko sahihi sana. Mimi ni muumini wa dhehebu hili, hatukuwa na roho ya matengano kabisa hasa kipindi cha askofu Kulola. Msisitizo ulikuwa injili ndiyo maana kanisa hili likakua kwa kasi sana. 2. Lakini tulikuwa na ombre la uongozi mzee alikuwa busy na injili tu, hivyo kukaingia wajanja...
  10. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Siku zote nyani haoni kundule " piece of shit" ni mtu anaye jaa popular baada ya kushindwa kutetea hoja.
  11. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Usilolijua ni kama usiku wa giza. Hadi sasa hakuna mali yoyote ya TAG iliyoporwa ndugu zangu tusiwe tunasikiliza propaganda za watu, hadi sasa ni viwanja na makanisa yaliyo jengwa na wamissionary wa Assemblie of God toka Springfield Missouri USA ambazo zilibakia kwa kanisa la mahali pamoja...
  12. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Mkuu Makamu askofu Mkuu Mahene yeye ndiye alikuwa wa kwanza kuibua hoja ya ubadhilifu. Katika kuhoji mambo kadhaa akazuliwa kuwa yeye ni mnzinzi hivyo afukunzwe na Mwakipesile akafanya hivyo. 1. Tulimwuliza Mwakipesile adhibitishe tuhuma hizo akadai kuwa kuna nabii ameonyeshwa na Mungu. Na siyo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Nashukuru kwa ushauri huo, nasisitiza anayetaka kuona na kujua ukweli mzima uwe huru kunitafuta. Hata ukitaka uje na askofu Mwakipesile njooni halafu aukatae.
  14. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Kutokuwa na transparency unakuchukuliaje na issue ya maadili. Nimesema wewe unaye taka kujiridhisha na ninacho sema nitafute nikupe ushahidi na vielelezo. Sipo kushabikia issue yoyote hapa.
  15. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

    Chabusalu: Tatizo ni la kiuongozi na kukosa transparency. 1. Katika mikutano mikuu yote ndiko ambapo maswali na hoja zozote hujibiwa. Jambo hilo halifanyiki. Mara nyingi ikitokea hoja yoyote ambayo inagusa uongozi haijibiwi na unaamulishwa kukaa chini. 2. Kuhusu magari tupeane mawasiliano njoo...
Back
Top Bottom