Fatma Karume ajipanga kukazia hukumu dhidi ya Musiba

Vijana ngoja niwasaidie kuhusu wale masheikh wa Uamsho iko hivi waliletwa kushtakiwa bara kwasababu mahakama ya Zanzibar hairuhusu kushtaki kesi za ugaidi ndio maana wameletwa bara
 
Hilo limsiba sijui lilikuwa linatumia nini kufikili, ni lijinga la karne. Wapambe wake wote wamemkimbia
 
Ziko nch kibao ziko hivyo mfano Canada,Newzealand na Australia ni nchi kamili lakini majeshii ya ulinzi na usalama yako chini ya malikia wa Uingereza ni majeshi ya uingereza na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ya nchi hizo ni malkia wa uingereza lakini katiba zao zinatamka wazi kuwa zenyewe ni nchi kamili na ziko hadi umoja wa mataifa
Bora uendelee na ile kitu ya Unga Limited kuliko hayo makubeli uliyoyaanza
 
Vijana ngoja niwasaidie kuhusu wale masheikh wa Uamsho iko hivi waliletwa kushtakiwa bara kwasababu mahakama ya Zanzibar hairuhusu kushtaki kesi za ugaidi ndio maana wameletwa bara
Kwa nini wasipelekwe Madagascar?
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imempatia Fatma Karume Hukumu ya kesi yake aliyoshinda dhidi ya Musiba.

Hukumu hiyo inampa haki Shangazi kukazia hukumu ili kukamilisha safari ya kupata haki zake baada ya kuchafuliwa vilivyo na bwana Musiba ambaye kwa sasa ameenda mafichoni kusikojulikana

Kupitia akaunti yake ya twitter, Fatma Karume ameweka wazi kuwa, mwaka huu 2022 atahakikisha anakazia hukumu ili alipwe stahiki zake.

Swali la.kujiuliza. endapo bwana Musiba atashindwa kulipa, ama.hata kama.mali zake zikikusanywa na kuonesha hana uwezo wa kulipa kiwango hicho. Nini kitajiri?

Jasusi mbobezi naye ameonekana kufuatilia hukumu yake ili aweze kukazia madai ya haki zakeView attachment 2092335

View attachment 2092336
CCM itamlipia ni MTU WAO
 
Anyongwe hadi kufa, shetani mkubwa Msiba
Umechanganyikiwa
Moja hakuna kesi ya madai yenye adhabu ya kifo

Pili shetani hafi na hawajawahi kufa yupo miaka nenda rudi na ataendelea kuwepo milele na milele.Kitabu gani cha dini kilichokwambia shetani aweza kufa?
 
Uraisi wa muungano ni jambo la muungano lakini mambo ya vyombo vya habari sio mambo ya muungano kila nchi iko kivyake ina sheria zake na usajili wake na mawaziri wake

Musiba ni mwandishi wa habari na magazeti yake usajili wake ni wa nchi ya Tanganyika sio nchi ya nje ya Zanzibar
Kumbe unajua kuwa Zanzibar ni nchi?
 
Umechanganyikiwa
Moja hakuna kesi ya madai yenye adhabu ya kifo

Pili shetani hafi na hawajawahi kufa yupo miaka nenda rudi na ataendelea kuwepo milele na milele.Kitabu gani cha dini kilichokwambia shetani aweza kufa?
Magufuli aliwaroga, YOU CAN'T READ THE CONTEXT! Nani kasema kesi ya madai ina penal punishment?
 
Huyo mdaiwa kwa sasa anabangaiza mafichoni na ni mnywa gongo. Hawezi kulipa hata laki moja.
Maisha popote ,Ni haki yake kuishi popote maisha yeyote aliyoamua kuyaishi usimpangie ni haki yake ya kidemokrasia aweza amua kuishi hata kwenye pango au chini ya mti akila nyasi

Acha umbeya wewe kuchungulia maisha ya watu wanaishije,wanakulaje wanalalaje
 
Umechanganyikiwa
Moja hakuna kesi ya madai yenye adhabu ya kifo

Pili shetani hafi na hawajawahi kufa yupo miaka nenda rudi na ataendelea kuwepo milele na milele.Kitabu gani cha dini kilichokwambia shetani aweza kufa?
Mpaka kufika weekend wiki hii utakuwa umelazwa Hospitali ya kichwa Lutindi kule Lushoto.
Si kwa speed hii mkuu
 
Kesi zaidi dhidi ya Musiba zipo njiani.

Bora tu akimbilie selo na tambara la deki
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imempatia Fatma Karume Hukumu ya kesi yake aliyoshinda dhidi ya Musiba.

Hukumu hiyo inampa haki Shangazi kukazia hukumu ili kukamilisha safari ya kupata haki zake baada ya kuchafuliwa vilivyo na bwana Musiba ambaye kwa sasa ameenda mafichoni kusikojulikana

Kupitia akaunti yake ya twitter, Fatma Karume ameweka wazi kuwa, mwaka huu 2022 atahakikisha anakazia hukumu ili alipwe stahiki zake.

Swali la.kujiuliza. endapo bwana Musiba atashindwa kulipa, ama.hata kama.mali zake zikikusanywa na kuonesha hana uwezo wa kulipa kiwango hicho. Nini kitajiri?

Jasusi mbobezi naye ameonekana kufuatilia hukumu yake ili aweze kukazia madai ya haki zakeView attachment 2092335

View attachment 2092336
Duh hii ndo Bongo. Ndugu zangu tupate shule kwamba kuna Kesho usiyoijua.
Kwa jeuri aliyekuwa nayo Msiba ni mtu wa kujificha kweli. Funzo gani tunalopata hapa ? Tujue kuna Kesho.

Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom