Habari za jumapili wana jamvi.
Naomba msaada wa maelekezo ya kuweza kufika ofisi ya Mkurugenzi wa wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro, nimepangiwa kazi wa ualimu wa msingi katika shule ya msingi NBARO MAABARO. yeyote anayeifaham hiyo shule ama ofisi za wilaya hiyo
Nashukuru
Mkuu asante sana kwa elimu nzuri sana.. tafadhali naomba nisaidie hoho zangu zinatoa maua vizuri tu baada ya cku 2 au 3 yananyauka, nimeleta bwana shamba kaniambia n ukungu, nipige theovit, na super gro, na abamectim. lkn ndugu tatizo bado pale pale.. nisaidie nifanyaje?
kwa kweli kuna kaukwel apo mm kuna kimono kmoja moshi vijijin nilifika yaan story za apo n uchawi tu. na mtu akianza kufanikiwa tu kimaisha anarogwa, mara mg'ombe, mazao yaan wachawi hapana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.