Haikuwa na maana kupoteza muda na fedha kugharamia elimu mpk shahada mbili af uishie kuwa dereva Bajaji,sbb ata bila elimu hyo angeweza kuendesha. Nafikir kaz hyo sio ndoto yke ila anafanya 2 ili kukidh mahtaji,Hvo si mfano wa kuigwa coz ukimuiga huyu unaiga hasara kwa familia.
Swala sio awamu ipi mkuu! Ata awamu hii mpk sasa inakopa kwa ajili ya miradi,pengine sio awamu hii italipa deni, lkn tayari imeongeza deni la Taifa toka pale ilipolikuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.