Recent content by Kagose

  1. K

    JamiiForums Tanzania Said Arfi na John Shibuda wapo wapi?

    Ndoroboooooz hao hawajulikani waliko!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete fanya hiki Dr. Magufuli apate kura za waalimu

    Masikini Magufuli,sasa hivi mvi zinajaa kidevuni kwa kasi ya ajabu!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Mwaka huu ccm watakunya hadharani mchana kweupeeee!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi Rorya waagizwa kuchangia ujenzi wa Maabara katika shule za Sekondari

    Hivi hawa watumishi si wanalipa kodi? Kodi zao zinakwenda wapi hadi wachangishwe fedha kwa nguvu? Kwa nini serikali inakurupuka kujenga maabara huku ikijua kuwa haina fedha? Kataeni msitoe!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Askari wa Jeshi la Polisi Mara wakatiwa Umeme.

    Hawa jamaa ni wapumbavu kabisa,tunapoandamana kupinga wizi na utapeli unaoendelea Dodoma wao wako busy kutupiga mateke.Hiyo fedha anayokula Sitta na genge lake kama ingetumika vizuri ingeweza kuwafanya wasiishi gizani.Ngoja wavune haki yao!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Askari wa Jeshi la Polisi Mara wakatiwa Umeme.

    Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha FFU Mkoani Mara wanaishi gizani kwa zaidi ya wiki mbili sasa baada kukatiwa umeme na Shirika la Umeme Tanesco baada ya kushindwa kulipa deni linalotokana na matumizi ya nishati hiyo. Baadhi ya askari wakizungumza kwa sharti la kutotajwa majina wamesema...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wassira: Nisingekuwa 'msafi' UKAWA wangenimaliza

    Sidhani kama Stephen ana kucha make aliwahi kuugua ukoma.
  8. K

    JamiiForums Tanzania CP Paul Chagonja: Ole wao Mbowe na wafuasi wakiandamana

    Hivi Chagonja hajastaafu tu?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wassira: Nisingekuwa 'msafi' UKAWA wangenimaliza

    Katika mahojiano na Gazeti la Dira ya Mtanzania,Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na uratibu) Stephen Masatu Wasira amesema kuwa ccm inao viongozi wasafi na yenyewe ni safi ndio maana imelilea Taifa katika misingi ya upendano,mshikamano,amani,utulivu na kwamba ccm...
  10. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko halmashauri ya Wilaya ya Rorya idara ya Sekondari.Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kutoka mikoa ya Morogoro na Tabora.Mwalimu yeyote aliyeko mikoa hiyo anayehitaji kuja Rorya ani PM.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu juu ya CWT wana JF!

    CWT ni Chama cha Kimangimeza!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 22 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Lenyewe ndo SHETANI,Jizi la Simu!
  13. K

    JamiiForums Tanzania CDM Imefuata nini Kalenga ilihali Daftari ya Wapiga Kura Halija Boreshwa?

    Ulitaka wakufuate wewe?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA jimbo la Kalenga

    Hivi wewe una akili kweli?
Back
Top Bottom