Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha FFU Mkoani Mara wanaishi gizani kwa zaidi ya wiki mbili sasa baada kukatiwa umeme na Shirika la Umeme Tanesco baada ya kushindwa kulipa deni linalotokana na matumizi ya nishati hiyo.
Baadhi ya askari wakizungumza kwa sharti la kutotajwa majina wamesema kuwa walikatiwa huduma hiyo tarehe za mwanzoni mwa mwezi wa tisa na hadi sasa hakuna taarifa yoyote iliyokwishatolewa na uongozi wa jeshi hilo mkoani Mara juu ya adha hiyo.
Source: Radio Victoria Fm katika taarifa yake ya habari ya saa 4:00 usiku leo.