Recent content by kagomaz

  1. kagomaz

    JamiiForums Tanzania Kutokuwa Magufuli ni sifa tosha ya kushinda uchaguzi 2020

    Kajipange tena..Huna hoja
  2. kagomaz

    JamiiForums Tanzania Masogange akamatwa kwa tuhuma za kuhusika na Dawa za Kulevya

    You dont know what you are talking about..Nani alikwambia tume wana cell?
  3. kagomaz

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump asitisha ajira zote za umma kwenye serikali kuu isipokuwa jeshi

    Kabla hujaja hapa kutoa povu nadhani ungetumia bundle lako lililobaki kufuatilia hiyo habari katika source unazoziamni wewe.
  4. kagomaz

    JamiiForums Tanzania TRA mko wapi? Selcom imeshirikiana na Azam Play TV kukwepa kodi (VAT) ya zaidi ya Bilioni 181

    Kuna mengi yatajulikana...Sie walala hoi tunaangalia kwa mbali.
  5. kagomaz

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Walioanza kulalamika hakuna pesa mifukoni ni wale waliozoea kupata pesa za burebure

    Hi cycle iko simple sana..More money in the market..more supply kwenda chini..Wale waliokuwa wakipiga mabilioni hawakuona shida kutumia which means pia walitumia zaidi ya actual value, kwa mfano mtu alikuwa anaweza kwenda kuosha gari kwa 30,000 au mtu hakuona shida kukodi bajaj kutoka mwenge...
  6. kagomaz

    JamiiForums Tanzania Zainab Bottlers Zanzibar, nani anaifahamu?

    unguja
  7. kagomaz

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

    Ulikutana na Mungu wapi akakwambia CCM lazima ife?
  8. kagomaz

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Sumaye kisiasa ni wa kiitikadi au kimaslahi?

    Point well noted.
  9. kagomaz

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. W. Slaa ni fisadi kuliko Lowassa

    Ahsante Faiza kwa kucheza na akili za watu fulani..inahitaji utulivu kuelewa maudhui ya thread hii
  10. kagomaz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

    Rudia kusoma ulichoandika..utatijua una upeo gani wa kufikiria
  11. kagomaz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

    Wewe unawakilisha msimamo wa watanzania kama nani?Jisemee wewe na mawazo yako.
  12. kagomaz

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Ahsante Mheshimiwa kuja kukagua kero za wananchi kwetu Gongo La Mboto. Nadhani ulikuwa huzifahamu.Haya ahsante kwa ziara yako nadhani inatosha kabisa kuandika ilani ya UKAWA. Lingine ahsante kwa kuendelea kuitumia elimu yako, naona umeamua kuitumia your BACHELOR OF ARTS into practice. Hongera...
  13. kagomaz

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    Watu kama nyie ni wa kutia kiberiti...!!:shut-mouth:
Back
Top Bottom