Recent content by kagalala nkulungo

  1. kagalala nkulungo

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Nataka chumba kimoja master, sitting room1, na jiko maeneo ya sinza! Bei isizidi laki 2
  2. kagalala nkulungo

    Hebu niambieni sifa kuu za huyu muigiza sinema wakuu

    Kila mission anayofanya lazima afeli! Hata maninja wadogo wanamkosoa hadharani kuwa hajua kanuni za uninja! Anapenda kwenda mission Na mikamera kibao. Na mwisho anaishia tu kupayuka bila kujali kuwa kazi yake ni kupigana kimyakimya. Dah ana misifa kibao ila acha tu niishie hapa.
  3. kagalala nkulungo

    Software Developers msaada

    Dah! Unataka aanze na project Euler! Kusolve hizo problems anatakiwa awe vizuri kwenye almost all branches of maths as well as good programming skills! Ni nzuri kuanzia hasa katika kuimprove problem solving skills!
  4. kagalala nkulungo

    Hatimaye Mwigulu Nchemba atunukiwa shahada ya Uzamivu(PhD)

    Bsc( UDSM), Masters (UDSM), PhD (UDSM). Uwe na uhakika exposure ya mtu huyo kwenye international forums ni ndogo mno. kama mtu haamini aangalie yule mkulu anavyojaribu kuifanya TZ kama kisiwa, akijitahidi basi anaishia east africa. hayo yote yanasababishwa na ukosefu wa exposure hasa...
  5. kagalala nkulungo

    Tunaelekea wapi?: PhD holders kuwa wanasiasa, na Re-Advertized jobs kwa walimu wa vyuo vikuu

    Wapi huko wame re advertise? Nataka kuapply haraka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kagalala nkulungo

    Je, Wajua Rais wa JMT Hayuko Juu ya Katiba? Anaweza Kulazimishwa Kumtengua Makonda, Akigoma, Bunge Linamtegua Urais?

    Mbona unatia chumvi ndugu? Angela Kairuki alisema K mbili tu zinatosha kabisa ( kusoms ns kuandika) ile ya kuhesabu si lazima kuwa nayo;);););)
  7. kagalala nkulungo

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    siku hizi kuna matumizi mabaya ya neno mheshimiwa. kuna watu hawastahili kabisa kuitwa waheshimiwa ila mnawalazimisha wawe waheshimiwa, matokeo yake ni bongo zenye sifuri kufikili kwa niaba ya bongo zenye kijielewa. Na bado kama bado huyo jamaa mpaka leo anajisifu eti ana akali na yeye ni mungu...
  8. kagalala nkulungo

    Criminals are Not very Smart! Ni Mtekaji tu Angekuwa na Uhakika wa Jumapili ya Makonda!

    Jamaa alikosea sana alipocheza filamu ya kitoto ya kumchafua gwajima kisha kuvamia clouds, toka hapo kila linalotokea ni vigumu kuamini kuwa hausiki maana watu walishapoteza imani naye. By the way ukiwa na fa fa fa hata plan zako zitakuwa za ki fa fa fa! FREE ROMA! WE NEED HIM ALIVE.
  9. kagalala nkulungo

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Hongera Nape kwa ushujaa uliouonesha. Hakika historia yako itabaki katika nchi hii kizazi hata kizazi. Ingawa huko nyuma ulitosononesha kwa kupigania yasiyo haki, lakini kwa hili furahi na kushangilia maana haki yako sawabu yako mbele ya watanzania na mbele za mungu ni kubwa. Karibu kaka uungane...
  10. kagalala nkulungo

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    itafika mahala mtasema wauza ngada ndio waliomfanyia huyo mkuu wenu wa dar visa mpaka akapata zero. Nilipoona UVCCM wamekaa kimya nkajua hakuna namna nyingine ya kumsafisha huyo jamaa. Mtu pekee mpaka sasa aliyeshikilia future yake ni mtakatifu pekee ( yule aliyechukua form ya kugombea kwa hiari...
  11. kagalala nkulungo

    UDSM kunani hapo?

    Wakati mwingine huwa nawashangaa watu wengine, mtu anafikili akisoma chuo flani basi kikikosolewa au kushauriwa anakuja juu kama vile chuo hicho ni cha baba yake. vyuo vyote vya serikali vinaendeshwa kwa kodi za watanzania wote hivyo kila mtu ana haki ya kushauri na kukosoa pale anapoona mambo...
  12. kagalala nkulungo

    Kila kitu bei ipo juu: Je, Rais Magufuli anapambana na umasikini au anapambana na watu masikini?

    kweli huu mwaka tumeisoma namba, bibi yangu toka azaliwe chakula chake kikuu ilikuwa ni ndizi. sasa migomba imenyauka, tetemeko likampitia, mvua hakuna, bei ya unga iko juu,sukari ndo usiseme. kila siku analalamika ila alikuwa mwanachama mtiifu wa kijani. ila sasa ameelewa somo nafikili...
  13. kagalala nkulungo

    Ndugu Rais tulibipu tukaingia, na sasa tunabipu kutoka

    Hakika huu msumari uko vizuri sana! tatizo watanzania wepesi kusahau. subili hiyo 2020 wakipewa t-shirt na kofia watasahau haya yote na baadae wataanza kulia uchaguzi ukiisha.
Back
Top Bottom