Recent content by Kafrican

  1. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

    Meli kubwa zaidi kutua nanga kwa bandari yoyote hapa EAC
  2. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Magari mapya yawasili stesheni ya Nairobi yakiwa yamesafirishwa kwa SGR kutoka bandari ya Mombasa https://www.youtube.com/watch?v=eRWZoZ7pnGY
  3. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

    Kwani kunani huko Dar? yani hata barabara ya kutoka Lamu haijakamilika lakini tayari wameona ni faster kusafirisha mzigo kutoka Lamu hadi Burundi kupitia barabara. _____ The Port of Lamu processed the first-ever transit container shipment destined for Burundi. The cargo, which arrived aboard...
  4. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Kenya William Ruto anataka kiwanda cha mafuta kijengwe Tanga?

    Hapo umechambua vizuri sana!!!! Pongezi!!! Na pia kama uliangalia na kusikiza hayo mahojiano kati ya M7, Ruto na Dangote. Kuna wakati alisema Museveni alikataa iron ore itolewe Uganda na ipelekwe kufanyiwa refinement kwa viwanda vya Kenya. Ruto akarudi Kenya na kumshawishi mwekezaji mkuu wa...
  5. Kafrican

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ruto Kutakiwa Kutoa Maelezo Kwa nini Atangaze Mradi wa kiwanda bila Kushirikisha Tanzania,Amwambia Dangote Ahamishie Kiwanda Mombasa.

    Lakini Ruto hajaamua kiwanda kijengwe Kenya, Ni Dangote amesema angependelea hivyo lakini mwisho wa siku amemuachia Ruto aamue kama anataka kiwanda kijengwe Tanga au Mombasa.. Ni wanahabari wanacheza na vichwa vya habari kupata clicks
  6. Kafrican

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ruto Kutakiwa Kutoa Maelezo Kwa nini Atangaze Mradi wa kiwanda bila Kushirikisha Tanzania,Amwambia Dangote Ahamishie Kiwanda Mombasa.

    Wakenya hawana chuki kwa nchi yoyote jirani. Hili ni jambo ambalo watanzania hawatawai elewa manake ni baadhi yeni nyinyi ndio mmejaa unafik kila siku. Mtanzania yeyote akija Kenya anachukuliwa kama ndugu, lakini mkenya akienda Tanzania unashukiwa kama mwizi! Wakenya ni watu competitive...
  7. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Mbali na garama ya kununua ardhi umesahau mambo mengine muhimu pia. Ethiopia haina grade separation wakati Kenya iko na 100% grade separation, yani hakuna mahali ambapo watu au magari yanapatana na reli. Reli ya Ethiopia ilijengwa kwa corridor ya reli ya kitambo kwahivyo asilimia kubwa ya ardhi...
  8. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

    Lamu sahii ipo busy na trans shipment https://www.youtube.com/watch?v=5-qbIfTpnIc
  9. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Kwa kweli nyani hua hajui kundule liko na upande gani:2Head::2Head::02Hype: 72% ya madaktrari Kenya wana uwezo wa kupeana matibabu yanayofaa kwa ugonjwa baada ya uchunguzi wa mara ya kwanza wakati Tanzania ni 57% pekee! Ikija kwa miundombinu, Kenya iko na majengo ya hospitali na madaktari...
  10. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

  11. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Nilikua sijawai ona hii. Ni jambo gani lilisababisha ajali hii jameni? https://www.youtube.com/watch?v=QpAfElm0f-E
  12. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu and Bagamoyo Ports Progress

    https://www.standardmedia.co.ke/business/article/2001527376/time-for-lamu-port-to-shine-in-mombasa-decongestion-plan
  13. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

    Lamu port this week
  14. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu and Bagamoyo Ports Progress

    Aged like bad wine :p:p:p https://x.com/lapsset/status/1957353688332218409?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1957353688332218409%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
  15. Kafrican

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

    Hii mada ikifungwa hakuna shida sasa :p:p:p https://x.com/lapsset/status/1957353688332218409?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1957353688332218409%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
Back
Top Bottom