REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,226
- 10,910
Hizo Kengele, kwani kuna Kanisa kwenye hayo madebe?
Lewis254 nyangau mkenya nairobae Teargass NairobiWalker mwaiofhawaii IamLee mwathadan Teargass
hilo ukishuka unafanya dua maaana sio kwa kelele izoHizo Kengele, kwani kuna Kanisa kwenye hayo madebe?
Lewis254 nyangau mkenya nairobae Teargass NairobiWalker mwaiofhawaii IamLee mwathadan Teargass
Ni sawa na reli ya kati 🚮hilo ukishuka unafanya dua maaana sio kwa kelele izo
wazungu weusi hawapendi izo mambo 🤣 🤣 watakasirikaNi sawa na reli ya kati 🚮
Ni slow, lina kelele na ni mateso makubwa kusafiri na hilo likitu la 1970swazungu weusi hawapendi izo mambo 🤣 🤣 watakasirika
Aawapii nakataa speed ya SGR kenya ni 120 km/h! Nadhani ni 60 km/h!Hizo Kengele, kwani kuna Kanisa kwenye hayo madebe?
Lewis254 nyangau mkenya nairobae Teargass NairobiWalker mwaiofhawaii IamLee mwathadan Teargass
😁😁Si wameuza dhahabu watumie Hiyo hela
Terrible!
Wako bize na mikopo mikubwa kulipana mishahara na kujenga wenyewe wanaita sijui: bypass, highway, dual-what-what 🚮
Kenya ni taifa la Kindezi sana.
View: https://x.com/ntvkenya/status/2022098430508904621?s=20



Yani kenya iko na 3 times the infrastructure kwahivyo lazima tujaze hizo hospitali zote na equipment za kutosha!