Recent content by Kadutu Kapya

  1. Kadutu Kapya

    ZEC walisahau mama walishatoa hii kitu ya ushindi! Uchaguzi wa Oktoba 25, 2015

    Hivi kulikuwa na wagombea maana sijasikia kutangazwa kwao na kura walizopata nimeona za rais nazo zimetajwa jumlajumla bila kutangaza kama ilivyokuwa oktoba kwa kutangaza za kila jimbo inatia shaka na kura zilizotangazwa
  2. Kadutu Kapya

    Orodha ya Wabunge wa CCM wanaotuhumiwa kuvuta rushwa kamati za Bunge

    Jamani kumbukeni kampeni ilimaliza pesa wameanza kurejesha na spika naye anahusika sana kamati hizo zililalamikiwa sana na wapinxani
  3. Kadutu Kapya

    Uchaguzi Zanzibar: Dr. Ali Mohammed Shein atangazwa Rais wa Zanzibar

    Hesabu iliyotumika siyo ya uchaguzi huu uchaguzi wa Jana haukuwa Na watu kwa hiyo imetumika hesabu ya October kuhalalisha ushindi watu tumefuatilia Na tumeona wasidanganye
  4. Kadutu Kapya

    Uchaguzi Zanzibar: Dr. Ali Mohammed Shein atangazwa Rais wa Zanzibar

    Hero yamepatikana matokeo watu wapumzike Na kamatakamata ilishakuwa kero
  5. Kadutu Kapya

    Viongozi wa CHADEMA Arusha warudisha kadi

    Labda wameahidiwa ukuu wa wilaya
  6. Kadutu Kapya

    Zanzibar: Bomu larushwa na kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi

    Halafu vyombo vya dola vinafanya nini hadi kamishina mkuu angelikuwa ocd tungesema hana ulinzi lakini kwa mkuu huyo vyombo hivyo vijichunguze inawezekana wanasalitiana
  7. Kadutu Kapya

    Zanzibar: Bomu larushwa na kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi

    Hivi kamishina mkuu hana ulinzi basi nikichekesho kama hata wakubwa wanalipuliwa ngoja tuone yetu macho
  8. Kadutu Kapya

    Uchaguzi wa Meya Dar Kufanyika Kabla ya 25/3/2016

    Utakavyoona wewe sawa sina muda wa kulumbana kwa kitu kinachosomeka na kueleweka nakishauri soma habari niliyoitolea comment
  9. Kadutu Kapya

    Uchaguzi wa Meya Dar Kufanyika Kabla ya 25/3/2016

    Siyo rahisi kunielewa inawezekana no mmoja wao
  10. Kadutu Kapya

    Upinzani unakufa kila kona ya Tanzania - NAPE

    Huyo ni kijana nahesabu kuwa amechanganyikiwa huwa hapimi mazungumzo ana kiherehere ingekuwa jeshini angeitwa kimbelembele au infoma
  11. Kadutu Kapya

    Uchaguzi wa Meya Dar Kufanyika Kabla ya 25/3/2016

    Hana ubavu kwa waliomuweka madarakani
  12. Kadutu Kapya

    Kulikoni unashangaa ya Musa, je ya Firauni umeyaona?

    Kama anavyosema huyo mwenezi kuwa mgombea wake anaushawishi,ana mvuto na ana uwezo sifa zote sawa mbona haelezi kwa nini wamenyimwa madiwani Kinondoni na Ilala ni baada ya kuonekana uwezo wao mdogo kama yeye anaona mtu wake ana mvuto amtafutie mchumba
  13. Kadutu Kapya

    Wana CHADEMA tumeshamchoka Lowassa. Hafai na hana thamani tena chamani

    Uliyemchoka ni wewe na chama chako ccm lakini aliko huku bado ni tinu
  14. Kadutu Kapya

    Mbowe timiza ahadi yako, Jiuzulu

    Kama ccm ilokuwa inaahidi bila kutekeleza ahadi zake bila utekelezaji we we unayen g'ang'ania Mbowe ajiuzuru una lako jambo ndani ya Chadema inaonekana kuwepo kwake kunakunyima usingizi M/ Kiti achana na wajinga kama hao
  15. Kadutu Kapya

    Muitaliano/Vicenzo Cozollino akanusha kumtetea Makamba

    Inaonekana kaukoo halo kana ugonjwa kama mnakumbuka baba yao naye kuna mwaka akiwa mkoa was Dar alimpigania sana Manji awe mbunge jumbo LA Kigamboni had I walilipoteza likaenda upinzani chino ya mbunge Magoba
Back
Top Bottom