Kweli ccm ndio jipu kubwa hapa duniani uchaguzi umefanyika tarehe 25/10/2015 leo ni takribani mwezi wa 5 katika jiji la dsm uchaguzi wa meya umekwama kwasababu tu namba haziwapi favor ya kuongoza jiji halafu eti mtu anasema NEC ipo huru mambo yapo wazi hivi bado wanapindisha mambo na mkurugenzi wa jiji anavuruga uchaguzi kwa zuio feki la mahakama lakini bado yupo ofisini na wanasheria bado wapo ofisini what is this? Au wanatamani kufuta uchaguzi wa madiwani dsm kama zanzibar?