Recent content by Kadudu24

  1. K

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

    Si bure anahitaji maombezi..
  2. K

    JamiiForums Tanzania Umbulula wa bongo

    Inashangaza kwa kweli kwa nchi kubwa kama Tanzania inayo sifika kwa amani utulivu na upendo na vitu vingine vingi ila kwenye usafitu ndo tumefeli,eti jiji kuu kama dar halifanyiwi usafi wa uhakika mpaka wageni waje kweli..kweli!!!?
  3. K

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI kwa wana ChitChat wote

    we get it mkuu..
  4. K

    JamiiForums Tanzania Leo Nina NiIni?

    you need to pop-kisoda with cocacola...what do you think...?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hod..! humu

    wewe tena..........nna mpango wa kukuweka damuni:A S-heart-2:
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hod..! humu

    wewe mwenyewe mami.............
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mi nataka nicheze na wewe..!!

    dah e bhana we mjanja sana!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hod..! humu

    hivyohivyo mkuu ngo ngeli zenyewe tena
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hod..! humu

    asante sana mrembo ......kumbe una mume tayari! nilitaka kukupa sifa za kuwa na macho yenye mvuto toba yarabi....lakini naogopa cha mtu mavi!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hod..! humu

    hakuna vumbi now ni greenish balaa na vijimvua vinadondoka ukija tunaaznia muungano then tunaishia cc karibu sana mrembo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mi nataka nicheze na wewe..!!

    mrembo preta inaonekana capital city hutembeagi eh.. Ni pande za dodoma
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mi nataka nicheze na wewe..!!

    aisee chalii yangu mbona unanivunjia heshima mimi ni ME digital not analogy
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mi nataka nicheze na wewe..!!

    Wajameni ka-weekend ndo hako tupeane kampani basi, mimi niko kijiji cha royay(royal village) hapa nakaziakazia swaumu siunajua kwamwezi haka, please kampani mi..bicoz nataka ni cheze na wewe.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mi nataka nicheze na wewe..!!

    Wajameni ka-weekend ndo hako tupeane kampani basi, mimi niko kijiji cha royay(royal village) hapa nakaziakazia swaumu siunajua kwamwezi haka, please kampani mi..
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hod..! humu

    linasomeka "kadudu twenty four"
Back
Top Bottom