Recent content by kadovela

  1. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria ya mpira wa kurushwa inabidi ibadilishwe

    Tena husiombe mpinzani awe anakupress toka juu, boko kamba
  2. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasipokuwa makini kwa hili nchi itajigawa kimakundi

    Kumbe hili swala limeleta nongwa kiasi hii duuuuh
  3. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

    Sex ni basic need wewe sio starehe
  4. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

    Ikishafika hatua ya kuumiza sio starehe Tena hiyo. Watu wanashindwa tofautisha burudani (viburudisho) na starehe
  5. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

    Mpira sio starehe. Starehe haina maumivu
  6. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    Yanga mchakato wa kwenda Kwa bus south Africa ulikuwepo ivyo serikali imegandamizia tu mstari Kwa kuamua kuwalilipia. Watu 30 walishachanga nauli wao watarudishiwa na wengine 18 wataongezwa. Simba mpango wa bus kwenda Misri hata haupo ivyo sio upendeleo ni kuunga mkono juhudi za mashabiki na...
  7. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

    Kusafiri Kwa ajili ya kile unachopenda Wala sio jambo baya. Kitu ambacho napenda kukidiscourage ni hii desturi ya kusafiri usiku usiku Ili mfike siku ya mechi ikiisha muanze safari ya kurudi Kwa lengo la kupunguza gharama za hotel n.k. mechi ijumaa anzeni safari jumatano tembeeni mwendo wa...
  8. kadovela

    JamiiForums Tanzania Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Ilipaswa apewe nafasi ya familia kumuona hata kuzungumza nao. Kama ni kweli kwamba nyakati za ugonjwa mkewe hakuwahi kupewa nafasi ya kuwa karibu basi walimkosea sana.
  9. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwamba huyu hapa

    Mh labda kama amefufuka
  10. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwamba huyu hapa

  11. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wa kilokole hawapo romantic?

    Ni yeye tu sio walokole wote tuko ivyo
  12. kadovela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli juu ya kuoa

    Yaani kifupi umetuambia tusioe ila umezunguka sana
  13. kadovela

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mhadhiri wa Chuo Kikuu na Mwandishi wa vitabu Dominic Thabit Msabila afariki dunia

    Alikuwa anafundisha vizuri sana husipomuelewa wewe ni hopeless wa mwisho, kusahisha sasa anapenda wote mpate A.
Back
Top Bottom