Recent content by kadogosakado

  1. kadogosakado

    UKAWA hamkujipanga kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Tatizo bwana lizaboni nadhani ukada wako unakupoteza kwa kuwa mpotofu katika hoja zako nyingi ninazokutana nazo humu JF alichozungumza kama hukumwelewa walaumu Tanesco waliokata umeme vipaumbele vyake vikuu elimu bure hadi chuo kikuu elimu ndiyo inaondoa umaskini , ujinga na maradhi ambayo...
  2. kadogosakado

    Bei ya umeme wa TANESCO kwa unit

    Kwa star tv sifuri heri ITV au Sibuka
  3. kadogosakado

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Kamati ya maadili ccm imemaliza kazi ya kuizika haiwezekani mtu au kiongozi mwenye akili timamu kukubaliana na upuuzi ulifanywa wa kuona watu watano ndiyo wenye maadili wakati huohuo ndiyo wanaongoza serikali kama wewe ungechukua uamuzi gani hata waliobakia huko ni roho ngumu na woga wa kunyomwa...
  4. kadogosakado

    Karibu tutabiri vichwa vya magazeti kesho

    Kesho ni mzalendo chonde chonde waongezee fedha ya kampeni kwa kununua nakala uone uozo zaidi utakaoandikwa kesho usikose
  5. kadogosakado

    Nini kitatokea ikiwa leo Lowassa akatangaza kujitoa mbio za urais?

    Kuna kigazeti chao cha udaku kinataka kutuaminisha rais bora ni yule aliye na uwezo wa kushuka kwa ngazi ghorofa saba muone jinsi walivyoishiwa na maneno ya kuzungumza .
  6. kadogosakado

    Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Mnashangaa nini kama mnakumbukumbu bwana huyo alishawahi kuhusishwa na kashfa ya Loliondo gate miaka 90 kwa hiyo yanayotokea siajabu kuhusika
  7. kadogosakado

    CHADEMA wamhujumu Lowassa rasmi, wavunja UKAWA kusini, CUF kumwaga mboga

    Tatizo la wa kijani uongo wao hawaupimi hivi mtu mwenye akili timamu unaamka kuzusha uongo unakuwa unamdanganya nani au ndiyo ndiyo hofu poleni sana lakini chama washirika kitawasaidia kuwalinda ingawaje nao zamu hii sijui kama wataweza kuwasaidia kuiba kura
  8. kadogosakado

    Viongozi wa CHADEMA Bunda, wasimamishwa na kuondolewa kwenye madaraka

    Mtoa mada sijamwelewa vizuri yeye alitaka chama kisichukue hatua kwa faida ipi kwa viongozi wapuuzi kama hao hayo tuwaachie ccm ndiyo wenye mfumo wa kulindana siyo CDM
  9. kadogosakado

    Rais Jakaya Kikwete wakati mwingine kunyamaza ni hekima kubwa sana

    Ccm ni wa ajabu sana kuchoka kwao wanakotupeleka ni hatari sana kama wanefikia kuita wawekezaji wa kutulisha nyama za punda wakati ng'ombe,mbuzi kondoo na kuku wapo wengi kwa tamaa zao kuna siku waita wawekezaji wa kusindika nyama za nyoka kwa tamaa zao zamadaraka za kijinga
  10. kadogosakado

    Utafiti: Watu wengi wanaoiunga mkono CCM, ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania

    Kwa nyongeza utafiti nilofanya wezi wote wa nchi hii wanaipenda sana ccm Lowasa wamemchukia sana nadhani tokea awe m/kiti kamati ya ulinzi bungeni huenda kuna kitu walishataka kukifanya akawakatalia ndiyo maana wakakata jina lake si bure
  11. kadogosakado

    CHADEMA mmejipiga chenga wenyewe jimbo la Sikonge Kwa kumteua Said Nkumba

    Wanaowalalamikia waotoka ccm kuja cdm kwa mawazo yangu kinachowasumbua akilini mwao kuendelea kupoteza majimbo kwa ujinga wa chama chao kupoteza mitaji ya ushindi walitegemea kuwa wao ni malaika wa kusubiri 2020 kwa mtu anayejitambua na mwenye uchungu na nchi ni lazima atafute upande wa pili...
  12. kadogosakado

    Ufamilia na undugu huu ndio unaiangamiza CCM

    Kwa maono yangu kwa wabunge wa viti maalum kupitia jumuia zake nina wasiwasi mwaka 2020 huenda tukawa na baraza la mawaziri la familia za viongozi wa chama cha kijani ref: majina ya wateule hao
  13. kadogosakado

    Tanzania amka!!!!!!!! Achenii ushabiki usio na maana....

    Kwa chama gani kama ccm ni heri waondoke kama ni sanaa tumetosheka nao nguvu ya umma pekee ndiyo itatufikisha kwenye neema
  14. kadogosakado

    Wassira,Unatania au Unawakejeli !!

    Uwezo alionao misukule ya chama chao kuidanganya
  15. kadogosakado

    Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Wazipokee hizo salamu wasiogope kuachia ngazi hilo ni gharika la elnino
Back
Top Bottom