Mkuu sio wahanga tu wanateseka hata wanao toa huduma nao cha moto wanakiona!Vyanzo vyangu vya habari hapo hapo makao makuu wilayani Chamwino vimenasa kuwa Tunajali Dodoma walishapeleka mishahara ya Data Clerk toka mwishoni mwa mwezi wa sita,lakini cha kushangaza mpaka ssa Data Clerk hawajapata...
Ni kweli kabisaa!Mi n'a mdogo wangu anafanya kazi ya Data Clerk Singida chini ya asasi ya Tunajali,lakini nimefanya kautafiti kadogo ka Tunajali ya Dodoma hasa wilaya ya Kongwa,Mpwapwa,Bahi,Kondoa na Chamwino kuna wizi kwelikweli hasa kwenye natengenezo ya printa,compunta,pikipiki,manunuzi ya...
Mikwara!Wakina Obama wanasema read between the lines!Kuna uwongo wowote katika mambo niliyoongea kamanda wangu au unanitry!Wakati mwingine maelezo ya mtu yaweza kukujulisha tabia yake,so mimi si mtu wa mikwara kama watz wengi tulivyo maneno mengi kuliko matendo!
Jamani nyie vipi!Mwanaume haesabiwi watoto!Na kisheria za serikali ni watoto nne tu ndio wanatambuliwa kwa waheshimiwa kwa ajili ya kusomeshwa hata mambo ya afya na mambo mengine ya kiserikali,ila kwenyekuwatambua au maurithi hata uwe nao mia utajijua ili mradi tu watambulike!
Umejuaje kama mi dogo,wakati hapo juu panajieleza kabisaa!Nina hasira kwa sabubu ya ujinga wetu,kaja Clinton ,Bush na leo Obama hebu nipe tathimini ya hizo ziara mbili mpaka sasa!Au vyandarua!Aaah jamani hata hii inahitaji kuwa na Digrii mbili za uchumi!
Sisi tutapokea akina Obama na wenzake na kupiga picha nao lakini ni mwisho wa siku maendeleo kama hatujajipanga tutayasikia kwenye maandishi huku rasirimali zetu zikiondoka mchana kweupe huku tukiwapigia mizinga 21 wezi wa rasirimali zetu!
Ndio naingia jamani,nipokeeni kwa hesima na taadhima!Niaje ma Greater Thinker!Mpo!Au mpo mpo kama kina naliu,nani wale wa pale mtaa wa Rais wa kwanza aliye uliwa kule Zaire nani yule...aah!Lete hoja tachagia hoja ukileta vioja tajua umeonja au wale makanjanja!Mnamfulrahia Oboma mmejipanga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.