Recent content by kadidu

  1. K

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Uwe na hekima diamond acha mihemko kiongozi yeyote Mungu atakayetupa ni wetu sote Uwe mjanja hivi hao unaowaita wakabila wakichukua nchi utaweka sura yako wapi
  2. K

    Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

    iwe pesa ya umma au la, iwe pesa halali au la, faiza unaweza ku-justify uhalali wa viongozi wa umma wenye dhamana kubwa ya kufanya maamuzi serikali, kupewa eti zawadi mabilioni ya shilingi bila kuwepo na interest yeyote nyuma yake. Biashara gani au wanalipwa fadhila ipi, kwa uhusiano gani na...
  3. K

    Tuhuma dhidi ya Mhe. Mbowe kupewa fedha: Hatua za kisheria kuchukuliwa

    acha ujinga hivi tukisema tufuatilie viongozi wenu wa magamba kuhusu zinaa nje ya ndoa,nani anapona.mbowe ajisafishe kwa hilo lakini jua kuwa hata wengine haawponi kwa hili including yourself
  4. K

    JK ateua Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

    kaka panua fikra kidogo kwani akitokea muislam mmoja kala kitimoto ndio tunajenga hoja kuwa hakuna uislam, au hakuna muislam aliye muaminifu, hiyo ni fallacy- hasty generalisation
  5. K

    JK ateua Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

    sifa kuu ambao wengi hawapendi kusikia na kuiamini ni kuwa huyu mtu ni mcha mungu kwa jina lisilopendwa na wengi mlokole.fuatilia usibishe tu kwa atakayetoa comment
  6. K

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    huu ni upumbavu kwa hiyo unaunga mkono tabia ya viongozi km kapuya ambaye ni public figure kufanya uasherati nje ya ndoa yake kisha apande kwenye majukwaa kuhamasisha wananchi waepuke ukimwi. Kwahiyo hata mke wake wa ndoa na sisi wananchi tumuombe radhi kwa uchafu huu na usaliti kwa mke na...
  7. K

    Rushwa ya ngono St.John's University inatishia usalama wa wanafunzi wa kike

    Kama ni kweli jambo funguka,huna haja ya kuzunguka zunguka,taja jina la mwalimu,sema suala hili limefikishwa kituo gani cha polisi na km una jina la polisi taja tu kwani naamini mtandao huu makini unatembelewa na watu mbalimbali wakiwemo wasimamizi wa sheria ,wanaharakati na viongozi wa chuo...
  8. K

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Haya wakipewa muislam mwenzao akawapa marks za bure na kufaulu mitihani ya necta,wakija huku vyuo vikuu wanakutana na nani? Si makafiri hao hao au na huku pia watasema vyuo vyote vya tanzania viongozwe na walimu wote wawe wa dini yao.wapi na watawapata wapi.vyuo vyote tz bila kujali ni vya...
  9. K

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Hili lidada linaloitwa faizafoxy lina udini sana.hii ni shida itatumaliza.wakumbuke pona yao ni kwasababu wa dhehebu hili lingine msingi wa imani yao ni upendo na ndilo la msingi linalofanya mpaka sasa nchi imetulia.kama imani yetu ingejengwa kwenye msingi wa jino kwa jino mbona mpaka sasa...
  10. K

    Udom wezi?

    Jamani mimi ni former masters student wa hiki chuo,nimemaliza mwaka jana.chuo hiki kimekuwa na tabia chafu ya kuwatangazia wanafunzi wanaotaka kushiriki sherehe za mahafali kuchangia kiasi fulani cha fedha ili kupata joho la mahafali kwa ahadi ya kurudisha kiasi fulani cha fedha ikiwa mwanafunzi...
  11. K

    Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    mh. Godbless mungu akubariki sana,ujumbe wako karibu unitoe machozi japo umenitia moyo.hakika giza likisonga mapambazuko yamekaribia.mungu awalinde nyote na ninawapongeza sana watu wa arusha kwa umoja na uvumilivu wenu bila kujali kabila, dini au nasaba.god will reward your efforts na atalipa...
  12. K

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo amwagiwa Tindikali na watu wasiojulikana

    unaniuzi wewe binti, mbona hatukuwafundisha hapa sjut kuwa makuwadi na kukosa kujiamini kwenye maisha namna hiyo,tabia ya kuganga njaa haitawasaidia.mmeshaambiwa hakuna viti maalumu tena na kama ajira tafuteni kwa kuamini katika maarifa na ujuzi mliopewa na si kwa kujipendekeza nyinyiem.halafu...
  13. K

    Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

    hamy d kumbuka sana tena sana kuwa hata mbwa mkoko ukimfukuza sana akichoka atasimama na akisimama ndipo utakapokuwa mwisho wetu sote na hata wewe hutapata fursa ya kuchukua hako ka-laptop kako na kuandika huo uharo wako hapa jamvini.amini usiamini mioyo yetu inaumia na kuharibika sana na kamwe...
  14. K

    Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

    Lipumba kashapoteza uhalali wa kuwa kiongozi wa nchi hii,kwani tayari ameshawabagua watanzania na kuonyesha dhamira na utashi wake kuwa yeye anataka kuwa rais wa kundi la watu fulani wenye imani yake.viongozi kama hawa ni wa kuwaogopa kama ukoma na mimi nashangaa waandishi wa habari wa nchi hii...
Back
Top Bottom