Recent content by kaday

  1. K

    Unamjua Pierre Nkurunziza wa zanzibar

    naomba msaada wenu wana jf wezangu jana wakati napita naelekea maeneo ya mjini karibu kabisa na majumba ya michenzani unguja eneo linaloitwa kisonge nilikuta bango kubwa lililoandikwa kwa maneno kama ifuatavyo UNAMJUA Pierre Nkurunziza wa zanzibar halafu mwisho wakaandika Mapinduzi daima.hapo...
  2. K

    Katibu mkuu bank moon,atoa pole kuuawa kwa wanajeshi wawili wa tanzania wa umoja wa mataifa

    Poleni famailia ya marehemu ndo mipango ya mungu,huwez kujua cku yko lini na wapi wamepigwa ambush wengi lakin wamekufa wawili ndo siku yao ilifika.R.I.P makamanda wetu
  3. K

    Wazanzibari na utitiri wa vitambulisho

    Ebu tupe maelezo ya kueleweka,wewe n mzenj au mtu wa bara
  4. K

    CCM Zanzibar yachagua kifo cha laana?

    Mm hapa cpoooooo yangu macho na masikio mwaka huu
  5. K

    Wakimbizi 373 wa Burundi wawasili Kigoma kuomba hifadhi

    Hapa wamezungumzia wakimbizi wa burundi,tz octoba oyee imekujaje
  6. K

    Kwisha! Yanga yatolewa CAF

    Bye bye,young africans,nitapumua mtaani ukweli utabaki simba ni timu pekee iliyowatoa waarabu mtake msitake na naomba mwakan ktk round ya kwanza mkutane na enyimba,au waarabu wa misri tena ili mtoke mapema
  7. K

    Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

    Asante cynic kwa kuweka hyo data wanamsimbaz tunaenda kwa ushahidi na kumbukumbu zetu kuanzia michuano ya afrika,kagame,tasker,mtani jembe,mapinduzi cc nyinyi ndala hamna histori nzuri zaidi ya ligi kuu
  8. K

    Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

    Yanga waarabu hamuwawez tuachieni cc wazee wa mtani jembe
  9. K

    Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

    Diamond amsaidie tu asijali alichotendewa na faza wake mungu atakulipa mbele ya safari na ubaya aliofanyiwa pia baba yke atalipwa kwa allah,
  10. K

    Raisi kikwete awataka simba kuiombea yanga

    Tunaitaka yanga ngao ya hisani najua kwa uwezo tutafika nafsi ya pili
  11. K

    Picha: Jamaa arukishwa kichura baada ya kugusa ukuta Ikulu

    Hapo ni ikulu jaman ubishi wa nn sasa?
  12. K

    Dua zenu kwa jeshi la Jangwani

    Kila la kheri mtani wangu mm simba damu lakin cna dua mbaya zidi yko nakuombea upeperushe bendera ya klabu na inchi kwa ujumla,Amein
Back
Top Bottom