Gor
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,791
- 850
Leo nimejiona mpweke mbele ya kijana wa kizanzibar,yaani jamaa ana aina nyingi za vitambulisho mpaka nika blow.
1- cha kupiga kura ya NEC
2- cha nida
3- cha udereva
4- cha kupiga kura ZEC
5- cha mkazi wa Zanzibar
6- passport
Sasa mimi nina cha kura iliyotolewa 2005 na NEC imefutika mpaka nikaona aibu.Hivi mbona sisi hata hizi za taifa hatupati