Recent content by kadasho

  1. K

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Cd na album zote za Diamond nachoma moto, na sitegemei kusikiliza muziki wake.
  2. K

    ITV yasalimu amri

    Yaani ata mimi nimeshangaa kwa kutoonyesha kabisa lowasa na wakaonyesha magufuli. Itabidi sasa kutumia magazeti yenye mwelekeo bora na azam tv.
  3. K

    Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Umesema kweli, huu jf ni kwa ajili ya tu updates uko uliko na si matusi wala kutoa story. Tunataka ukweli wa mambo.
  4. K

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Kwdli nimekubali, mwanza mmefunika kuliko uku kwetu mby
  5. K

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mi namuombea tu, iko cku yote yataisha baada ya trh 25 0ct
  6. K

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Picha za matukio wapenda mabadiliko, wametunyima hakuna tv inayoonyesha
  7. K

    jaman natafuta kaz plz naomben mnipe kaz

    Soma mara kwa mara kwenye mitandao na magazeti, utaweza kufanikiwa.
  8. K

    CCM imepaniki?

    Wakija mbeya tutawazomea.
  9. K

    Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Mimi naamini dr slaa na edw lowasa wataifanya ukawa kuwa na nguvu sana na kupata ushindi wa zaidi ya 75%.
  10. K

    MKASA: Nilimuua rafiki yangu mwaka 1990, ananitokea akinitaka nikatubu

    Ushauri wangu! Je alizikwa kwao au ulimwacha polini.? Kama alizikwa kwao wambie wazazi wake kuwa naomba panga nao oli ujenge kabiri lake, andaa chakula na vinywaji siku iyo.
  11. K

    Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Wanawake mara nyingi hawafikirii mbali, wanachanvanya sana akili za wanaume. Uwe makini asije akaleta maradhi! Omba sana mungu ataKusaidia.
Back
Top Bottom