Mfumo wa hii nchi hauwezi kubadilishwa na mtu mmoja bali ni kwakua na katiba bora kwa maslahi ya nchi.
Mama aliondolewa shinyanga kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake hasa ya kuweka bayana mkoa unawatumishi hewa wangpi na ile kauli ya Mh rais ya tutampangia kazi nyingine ni ya kiubinadamu tu...
Impact ya wafanyakazi hewa ni kuongezeka kwa bill ya mishahara ....na kutotangaza ajira uhakiki unachukua mwaka mzima aisee mbona hatar sana kwa maslah ya nchi wafanyakazi wa serikal saiv wanalewa na kazi wengine wanafanya kazi zilizonje ya professional zao with no allowances and overtime...
Kushuka kwa shiling ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani kunasababishwa na mambo yafuatayo kwa uchache;
1.Uzalishaji mdogo wa bidhaa zenye ubora
2. Exportation ya raw material imekua kubwa kuliko ya finished product
3.Importation ya finished product inayopelekea kutumia kubadilisha pesa yetu...
Kunajambo nashindwa kulielewa
Kwaninavofahamu suala la kutengeneza au kujenga miundombinu ni kazi ya serikal kupitia mifuko ya majimbo na halmashauri pale inapotokea janga kama lililiwakuta ndg zetu wa kagera na ss kama watanzania na wahisani mbalimbali kwa kuguswa kwao wakaamua kuchangia pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.