Recent content by kachwankizi

  1. K

    JamiiForums Tanzania NEST Yapandisha Gharama za Chakula Mitihani darasa la saba.

    Utaratibu wa NEST unatumia gharama kubwa kwa baadhi ya huduma. Mfano huduma ya chakula. Hili nimeliona kwenye uendeshaji wa mitihani ya darasa la saba. Shule zinalazimishwa kuagiza vyakula kupitia Nest badala ya kuandaa wenyewe. Hii imeongeza gharama mara mbili au zaidi. Mzabuni analeta chai...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom mnaiba kupitia songesha

    Kuiba ni kuchukua kitu cha mtu bila ridhaa yake. Kampuni ya Vodacom mnaiba kupitia songesha. Mtu anakuwa hajaomba kusongesha lakini anashtukia anapata ujumbe kuwa kiasi fulani kimekatwa kwa ajili ya songesha. Rejea mlio wakata leo bila kuomba hiyo huduma na mimi ni miongoni mwao.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

    Uzanzibar unamatter ili kuona kama katiba haijavunjwa. RAISI AKITOKA ZANZIBA MAKAMU ANATAKIWA ATOKE WAPI?
  4. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji

    Tanki kubwa la maji ya kutoka victoria lipo Tabora halijajaa. Likijaa yataachiwa kuja Mwanza.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Akataa Matokeo ya Autopsy, Agoma Kuchukua Mwili wa Mwanawe Aliyekufa Kizuizini

    Mbona panga nami ninalo nyumbani!?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Chupa zilizojaa mkojo zaidi ya 2,000 zakutwa ndani kwa mama ntilie jijini Arusha

    Ndo maana chakula cha mama ntilie kitamu sana.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbona wanakobadili vyama kwenye uchaguzi ndo tunaenda kuomba?

    Kuna kitu najiuliza mpaka sasa sijapata jibu. Mbona ulaya na Marekani wanakobadili vyama vya kuongoza serikali kwenye chaguzi ndo wanauchumi imara na ndo tunakwenda kuomba? Afrika hatujang'amua kwamba kushikiria chama kimoja miaka hamsini mia ni mkwamo wa maendeleo?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

    Wanajisifu na misifa wanayo.Au hilo hukuona?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nyuzi zipi zina wachangiaji wengi?

    Jamii forum ndo jukwaa lenye mchanganyiko wa watu mbalimbali wakiwemo wasomi na watu wenye vitengo mbalimbali n.k. Hivyo wingi wa uchangiaji kwenye mada fulani unaweza kusaidia kuiona sura ya taifa. Je wachangiaji wengi wapo kwenye nyuzi za siasa, michezo, vita, uchumi, harakati za maisha...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tunaposema elimu imeboreka tunaangalia vitu gani?

    Mara nyingi utasikia watu hasa viongozi wakisema elimu ya Tanzania imeboreka.Kipi kinaangaliwa?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Polisi Bariadi wafafanua video ya Askari na Bodaboda aliyekuwa na Magunia ya Alizeti

    Watu wengi wanashauri jeshi hili kufanyiwa mageuzi.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tangu uzaliwe ulishawahi sikia au kuona ripoti ikisomwa, kuonyesha sababu ya kifo cha mtu flani ni UKIMWI?

    Mandela aliwahi mtangaza mtoto wake kwamba kafa kwa ukimwi
  13. K

    JamiiForums Tanzania StarTV yakatisha matangazo ya BBC Swahili baada ya mtangazaji kusoma kichwa cha habari

    Nilikimbilia huko mara baada ya kukata matangazo saa tatu kumbe ni saa nne.Asante sana kunifumbua macho.
  14. K

    JamiiForums Tanzania StarTV yakatisha matangazo ya BBC Swahili baada ya mtangazaji kusoma kichwa cha habari

    Mara baada ya mtangazaji kusoma kichwa Cha habari za Tanzania matangazo ya BBC Swahili yalikatika. Kwa nini?
Back
Top Bottom