Habari wapendwa,
Nauza Uyoga (Fresh Mushroom)
Tafadhali wasiliana nami kwa namba 0753 214561 au 0715 497259
Tunapima kuanzia Kilo moja hadi robo kilo
Huduma ya kuletewa ipo tutaelewana kutokana na umbali (Dar), wa mikoni tunatuma pia
Karibuni sana
Schola
Habari wapendwa,
Nauza Uyoga (Fresh Mushroom)
Tafadhali wasiliana nami kwa namba 0753 214561 au 0715 497259
Tunapima kuanzia Kilo moja hadi robo kilo
Huduma ya kuletewa tutaelena kutokana na umbali (Dar), wa mikoni tunatuma pia
Karibuni sana
Schola
Habari zenu wadau,
nina utata juu ya maana halisi ya Profession na je nini vigezo vya profession? Lakin je kama huko duniani professional zina bodi lakiini kwa hapa bongo hazina je zitakuwa profession?
Habari zenu wanajamii forum
Nimeangalia picha za kumuaga Uncle J, katika mitandao tofauri najiuliza hivi huu uandishi wa kuonyesha maiti ni w wapi? ninavyofahamu kitaaluma hairuhusiwi lakini siku hizi katika misiba mingi unakuta wanaonyesha mwili wa marehemu, watu wanaweza wasione kama tatizo...
Nakushukuru kwa ushauri nitafanya self analysis then niamue lakini si kula good time ila nilikuwa naangalia ni bora nikazizungusha maana zimekaa huko miaka miwili sasa lakini sioni faida
Wapendwa nauza hisa za NMB ushauri jamani niziuze au niziache lakini hisa zenyewe elfu moja tu gawio kwa mwaka elfu hamsini lipi bora kuziuza kufanya shughuli nyingine au
Kachoki
Hizi ni soseji tofauti kabisa na zile za Arusha, hizi ni kubwa na nene zenye uzito wa kilo moja inakuwa one piece nitakuwekeeni picha hapa ili iwe rahisi kuzitambua
Asante
Asante Amoeba kunifanyia maelezo zaidi kuhusu hizi soseji sasa nikuletee ngapi? fanya oda yako pia asante kutambua kuwa siye ( siyo wote) tuliotoka PERAMIHO NI WAKARIMU!!!!!!!!!!!!!! wengine karibu sana PERAMIHO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.