Recent content by Kacghee1

  1. K

    Jicho la tatu: Nape keep CCM under pressure

    Wewe pia Mdaku!
  2. K

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi ni mteja wa NMB tawi la Korogwe. Nimechukua mkopo July, 2016. Kinachonishangaza kila mwezi mbali mkopo huwa nkatwa takribani sh 30,000.00! Fedha hii inayokatwa haionyeshwi kwenye salary slip yangu ila ktk bank statement inaonekana inakatwa! Je ni halali tawi la benki au mtu mwingine...
  3. K

    Rais Kikwete na NEC watofautiana Takwimu za daftari

    NEC itoe takwimu halali, Mara NEC watuambie mil 23 mara Raisi aseme mil 28!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. K

    Lowassa katika kashfa mpya! Ni ya uuzwaji kiholela wa UDA

    Naomba kama ni waumini kweli tukumbuke tutahukumiwa kwa kauli zetu na matendo yetu. Tumuogope mungu mambo mengine. Tusijidanganye kwamba tutasamehewa dhambi zetu tukitubu; dhambi ikishaandikwa haifutiki adhabu yake kaburini na kiyama.
  5. K

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Hivi katika akili ya kawaida ameshindwaje swala la maji miaka 20 ya ubunge!!! Ifikie mali tuseme ukweli.
  6. K

    Clouds tv waonesha vita ya Libya

    Clouds tv wamechemka
  7. K

    Kwanini UKAWA hawatumii viwanja vikuu

    Wananyimwa!!!!
  8. K

    Yanayojiri Mikutano ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Magufuli mkoa wa Kigoma

    Ifikie wakati watu wasijiongezee dhambi kwa kunena uongo, waridhike na walizokuwa nazo au watubie ili zipungue. Mimi. Nasikitika watu kutengeneza mambo na kuwaaminisha watu ni kweli.
  9. K

    Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

    Kujifariji inaruhusiwa.
  10. K

    Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

    nadhani huelewi vyena neno kipaumbele!!!!!!!!!!!
  11. K

    Wasanii Aunti Ezekiel na Vincent Kigosi kutoka UKAWA wajiunga na kampeni za CCM

    Wanaweza kusahaulika hata kazi zao zisiuzike. Wachukue mfano wa waliojitoa na hawasikiki tena, wengine wamekimbilia marekani kukwepa aibu.
  12. K

    Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    Nashangaa siku zote Mwakyembe alikuwa wapi. Mi nafikiri ni bora aeleze ccm ilichokifanya na wapi walikwama na ipi mikakati ya sasa na siyo kurudia ahadi hizohizo katika chaguzi .
  13. K

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kiukweli hakupaswa kutumia maneno upumbavu na ulofa, nimesikitika sana kwani nilitegemea Ben amwage sera.
  14. K

    Nape aita waandishi wa habari Lumumba kujibu mapigo ya UKAWA

    Oil chafu inakuwa replaced na safi. Aeleze hiyo oil safi ni akina nani?
Back
Top Bottom