Recent content by Kabwena

  1. K

    Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Mwenyekiti Freeman Mbowe yuko njiani muda huu was 9:00 kamili akielekea kwenda kumuona Kamanda Sirro muda huu ili kujua nini anachotafutiwa,ameamua kutoka nyumbani kwake maeneo ya Kawe alikokuwa amepumzika kwa muda wote. More updates to.come later Na: John Mrema (CHADEMA).
  2. K

    Sakata UDA: Hivi ndivyo madiwani na wabunge wa DSM wanavyotuhumiwa kuhongwa kufunika kombe

    KAMA HILI NI JAMBO LA KWELI: Nawapongeza Madiwani, Wabunge na Mameya ambao ndiyo wajunbe wa Jiji la Dar es Salaam kwa kuchukua RUSHWA HIYO inayofikia milioni 3 kwa kila mmoja. Yaani wamechukua RUSHWA ili wabariki UFISADI lakini wakapiga kura za KUKATAA kubariki ufisadi. Hakika hawa ndiyo...
  3. K

    Yu wapi Kubenea, mbunge wa Ubungo?

    Yupo anapiga mzigo, Mwezi uliopita alifanya mikutano ya kujibu kero za wananchi mtaa wa Uzuri kata ya Manzese, kisha baadaye Mabibo na wiki iliyopita tu amepiga mkutano mwingine Kimara.
  4. K

    Haya yalikuwa matumaini ya wengi kwa Dk. Rioba

    Miezi tisa iliyopita Charles William, mmoja kati ya waliowahi kuwa wanafunzi wa Dk. Ayub Rioba aliandika maneno haya kuhusu kuteuliwa kwa mhadhiri huyo kuwa mkurugenzi wa TBC. Dk. Rioba iepushe TBC na fedheha Tarehe 14 Machi, 2016. Ilichapwa katika gazeti la MwanaHALISI Na Charles William...
  5. K

    Kamati ya mikopo vyuo vikuu yafunguka

    TAMKO LA KAMATI JUU YA UTUMBUZI WA JIPU LA BODI YA MIKOPO. Kamati ya mawaziri wa mikopo ya elimu ya juu nchini Tanzania tumepokea kwa furaha kubwa taarifa ya kiutendaji juu ya kuondoshwa kwa wakurugenzi mizigo katika bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Licha ya ukweli kuwa kitendo hiki cha...
  6. K

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Jembe Anatropia ndani, safi sana...
  7. K

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    CUF mlikuwa wapi kujiimarisha Segerea miaka yote? Anatropia alijenga jimbo akaombwa kuchukua fomu na chadema taifa akatakiwa kujitoa akajitoa na Mtatiro akaombwa amtumie kama kampeni manager akagoma Anatropia akaenda kupiga harakati jimbo la Mlimba, jimbo la Mikumi na Kilombero na Chadema...
  8. K

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    hujui lolote kuhusu kilichotokea Segerea, unasoma udaku wa Mtatiro tu. Chadema taifa na Wananchi wa Segerea tunajua kilichotokea Segerea.
  9. K

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Rachel mapendekezo ya kamati kuu hayakumuweka kwenye top 40. sio yeye tu aliyeachwa yupo Lucy Owenya(mbunge viti maalum Kilimanjaro) amewekwa namba 39 kwahiyo hataingia kwa kuwa viti vya chadema ni 36 tu. yupo Pia Rebbeca Mngondo aliyekuwa mb viti maalum Arusha ametoswa
  10. K

    Ushauri: CHADEMA ibadili ofisa habari

    Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema hakina budi kumuondoa ofisa habari ndugu Tumaini Makene ili kumeweka mtu anayeimudu zaidi nafasi hiyo. Kama kuna mtu yoyote ambaye ni mwandishi wa habari atakubaliana na mimi kwamba huyu jamaa ni mzigo ambao unakiharibia cha kadri muda unavyokwenda...
  11. K

    Haya Majimbo 48 ambayo hakuna UKAWA ni Majimbo gani?

    hata post inasema hivyo hivyo. wewe tu hujatulia ukaielewa. anaposema majimbo 48 hakuna ukawa anamaanisha vyama vyote vinagombea havijaachiana
  12. K

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    hivi unajua maana ya maslahi? yaani kutokuwa mfuasi wa vyama ndio maslahi yako unayoweka wazi?
  13. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Taarifa nilizozipokea kutoka kwa watu wa karibu kabisa na familia ya Dk Wilbroad Slaa hususani bi. Josephine Mushumbusi ni kwamba kesho saa saba mchana Dr Slaa atatangaza rasmi kujiuzulu ukatibu mkuu wa chadema taifa lakini pia kujivua uanchama wa chama hicho na kutangaza kustaafu siasa. Dr...
Back
Top Bottom