Haya Majimbo 48 ambayo hakuna UKAWA ni Majimbo gani?

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,404
9,234
Wakuu habari,

Nimeikuta hii kwa Khamis Kigwangala kuwa majimbo 48 hakuna ukawa je majimbo gani? Na kama ni kweli kwanini hawakuwa makini katika hilo?
1441596482263.jpg
 
Ni ya mwaka gani hiyo, mimi najua ni jimbo moja tu ambalo halina upinzani la nanyamba( I stand to be corrected) kuna majimbo 2 yanataka kufanana majina.
 
Waongo hao majimbo yote UKAWA wanamgombea isipokuwa moja tu la kusini kule mgombea wa UKAWA hskurudisha fomu...

Hizo ni propaganda za Zitto akizungumzia vibaya chadema kwamba Wamesimisha wabunge wachache bila kusema kwamba UKAWA inasimamisha mgombea mmoja kila jimbo.
 
Yapo znz hayo chini ya ukawa cuf, hizo ni propaganda rahisi
 
hamisi kigwangala hajui anochozungumza kwanza majimbo yapo 265 na siyo 266
ukawa imesimamisha wagombea majimbo yote hata ili la nyambaja mgombea wa ukawa alikuwepo lakini hizo milion2 ndio akaingia mitini. sina hakika labda wanachanganya na majimbo ya zanzibar ambapo wagombea karibu wote pia ni wa ukawa kupitia chama cha CUF ambapo jumla yao ipo ndani ya hao 99

chadema ina wagombea 138
cuf 99
nccr mageuzi 26
NLD 2
JUMLA 265
 
Nadhani anachozungumzia Kigwangala ni UKAWA kwa maana ya umoja wote kwa pamoja wamesimamisha wagombea kwenye hayo majimbo 48. Mf Segerea, Mtwara Serengeti nk, Ila hata kama hali hiyo ipo, Sidhani kwamba yanaweza kufika majimbo 48, hainiingii akilini hata kidogo.

Kigwangala anaweweseka baada ya kupata ushindani mkubwa jimboni kwake. Tunaenda kushuhudia mgombea Urais akidondoshwa na Wananchi Jimboni kwake. Pole sana HKigwangalla.. hatuna namna tunapiga chini ccm pamoja na yeyote anayeiunga ama. kushirikiana nayo, Jiandae kisaikolojia.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Ni ya mwaka gani hiyo, mimi najua ni jimbo moja tu ambalo halina upinzani la nanyamba( I stand to be corrected) kuna majimbo 2 yanataka kufanana majina.

hata post inasema hivyo hivyo. wewe tu hujatulia ukaielewa.

anaposema majimbo 48 hakuna ukawa anamaanisha vyama vyote vinagombea havijaachiana
 
Nadhani anachozungumzia Kigwangala ni UKAWA kwa maana ya umoja wote kwa pamoja wamesimamisha wagombea kwenye hayo majimbo 48. Mf Segerea, Mtwara Serengeti nk, Ila hata kama hali hiyo ipo, Sidhani kwamba yanaweza kufika majimbo 48, hainiingii akilini hata kidogo.

Kigwangala anaweweseka baada ya kupata ushindani mkubwa jimboni kwake. Tunaenda kushuhudia mgombea Urais akidondoshwa na Wananchi Jimboni kwake. Pole sana HKigwangalla.. hatuna namna tunapiga chini ccm pamoja na yeyote anayeiunga ama. kushirikiana nayo, Jiandae kisaikolojia.

BACK TANGANYIKA

Kwani Kigwangalla anagombea Jimbo gani,maana Nzega mjini kuna H.Bashe na Nzega vijijini Kuna Lucas Seleli au mimi sijui kuna jimbo kati ya hayo mawili yupo Kigwangalla
 
Last edited by a moderator:
Nadhani anachozungumzia Kigwangala ni UKAWA kwa maana ya umoja wote kwa pamoja wamesimamisha wagombea kwenye hayo majimbo 48. Mf Segerea, Mtwara Serengeti nk, Ila hata kama hali hiyo ipo, Sidhani kwamba yanaweza kufika majimbo 48, hainiingii akilini hata kidogo.

Kigwangala anaweweseka baada ya kupata ushindani mkubwa jimboni kwake. Tunaenda kushuhudia mgombea Urais akidondoshwa na Wananchi Jimboni kwake. Pole sana HKigwangalla.. hatuna namna tunapiga chini ccm pamoja na yeyote anayeiunga ama. kushirikiana nayo, Jiandae kisaikolojia.

BACK TANGANYIKA

Kuna kijana makini anayemjambisha HK huko Nzega vijijini na kuna kila dalili ya CCM kupotea na isirudi tena.
 
Last edited by a moderator:
Hawa maDokta wa kuungaunga ni wakupuuzwa. Yeye kaona orodha ya Wagombea UKAWA kasoma idadi kakurupuka bila kujua hiyo orodha haina majina ya wagombea wa Unguja na Pemba.
 
Wangu namnyamba wamemsimamisha Mgombea wa Chadema baada ya yule aliekubalika wa CUF kulala mitini.

Kiongozi ebu fafanua hapa kidogo ili walau nifarijike.

CHADEMA walikamilisha mchakato wa NEC lini hata wakafanikiwa kuziba hilo gap?
Maana yule ---- wa CUF alipotea dakika za mwisho kabisa.
 
Back
Top Bottom