Kamati ya mikopo vyuo vikuu yafunguka

Kabwena

Senior Member
Jun 17, 2013
103
55
TAMKO LA KAMATI JUU YA UTUMBUZI WA JIPU LA BODI YA MIKOPO.

Kamati ya mawaziri wa mikopo ya elimu ya juu nchini Tanzania tumepokea kwa furaha kubwa taarifa ya kiutendaji juu ya kuondoshwa kwa wakurugenzi mizigo katika bodi ya mikopo ya elimu ya juu.

Licha ya ukweli kuwa kitendo hiki cha kishujaa kimecheleweshwa sana kufanyika na hivyo kufanywa katika wakati ambao tayali watendaji hao wamesha watesa sana watoto wa mafukara na walipakodi watiifu wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania.

Mpaka sasa wanafunzi zaidi ya 6000 nchini hawajalipwa stahiki zao yaani pesa za kujikimu hawa ni wale wa muamara safilisho (transfer) pamoja na wele waliocheleweshewa pesa zao pasi na sababu za msingi. Hawa wanaidai bodi hii zaidi ya shilingi million 1.2 kila mmoja wao. Haya ndiyo makovu wanayotuachia watendaji hao ambao hawapaswi kusikilizwa wala kurudi ofisini hata kwa dakika moja.

Watendaji hawa wanaondondolewa huku wakituacha na idadi ndogo ya wanafunzi wa mwaka wa pili, watatu na wanne wachache wanaonufaika na mkopo nchini Licha ya ukweli kwamba wengi wao wanazo sifa za kupata mkopo na wameomba mkopo huo mara kadhaa Bila kusikilizwa wala kusaidiwa hii imepelekea wengiwao kuacha masomo na kurudi kijijini kuunganisha na vijana wengine wanaojishughulisha na sela ya kilimo kwanza iliyotungwa na inayoimbwa mjini.

Kinachosikitisha ni Kuwa mabepari hawa eti walikuwa na pesa za kuwalipa yatima na mafukara hawa na badala yake wakanunulia magari ya kifahari na kujenga majumba mithili makasili ya kiarabu pasi hata kumuogopa mungu waliweza kusababisha baadhi ya wanafunzi kufukuzwa chuo mwaka 2011 kwa kosa la kuhoji juu ya matumizi mabaya ya pesa za mikopo ya wanafunzi

Wakati wa utawala wa mabepari hawa ilikuwa ni jambo la kawaida sana wanafunzi kucheleweshewa mikopo yao ambayo kimsingi ni haki yao ya kimkataba na watapaswa kurudisha tena kwa Riba kubwa ya asilimia 17 mpaka pale tulipo goma au kufanya mashinikizo ndipo tulipewa pesa hizo. Mfano ni chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka 2015 pesa ilicheleweshwa kwa muda wa wiki Tatu lakini siku waliofanya shinikizo ndipo bodi ilitoa pesa siku hiyo hiyo.

Kwa haya na mengine mengi ambayo kamati iliyapeleka mezani kwa waziri mkuu Mh Khasim Majaliwa kupitia barua ya tarehe 28/12/2015 na waziri wa Elimu kupitia kikao cha tarehe 30/12/2015 na baadae tarehe 12/01/2016 pia kupitia
Waraka wa kwanza wa watoto wa mafukara kwa bodi ya mikopo na Waraka wa pili wa watoto wa mafukara kwa bodi ya mikopo na mwisho Waraka wa kamati ya mawazir wa mkopo kwa wazir mkuu. Yote haya yalikuwa ni matokeo ya maumivu makali tuliyoyahisi toka katika ya kuta za utumbo mnene mpaka akilini mwetu kuashiria njaa kali iso kifani.

Hivyo kamati inatoa pongezi za dhati kwa Serikari ya awamu ya tano kupitia wizara ya elimu kwa kutuepusha wasomi na kikombe hiki cha pilipili ya moto tulichokuwa tukilazimishwa kufanywa.

RAI YETU.
Kwa wateuzi wa watendaji wapya
Tunataraji mtatuteulia watu makini na wenye uchungu na taifa hili watu wanaojua kuwa elimu ndio afya ya Taifa hili na wanaojua fika athali za kucheza na elimu kuwa ni kuangamiza taifa letu .

Watakaoteuliwa
Wajue fika kuwa wanafunzi wa elimu ya juu ni watu wazima tena wenye uwezo makubwa wa kuchambua na kupembua mambo hivyo hawatoyumbishwa khatu na wababaishaji.

Wanafunzi wengi wa elimu ya juu ni wa Tanzania wa kipato Cha Chini hivyo kwa kiasi kikubwa maisha yao yanajiegemeza katika bodi hiyo ya mikopo. Na mpaka sasa yapo madai yao makubwa ya kuwashughulikia katika kipindi cha mda mfupi.

Pia kamati inawashauri kupitia upya mapendekezo ya tume ya Profesa Maboko iliyoundwa mwaka 2011 na kutoa mapendekezo ya uendeshwaji wa bodi hiyo.

Huu uwe mwanzo tuu wa kuyashughulikia watendaji wabovu katika bodi hiyo na watendaji wataochaguliwa wasisite kuchukua hatua dhidi ya watendaji waliochini yao kabla ya wao kuchukuliwa hatua kwa uzembe wa vijichunusi hivyo vinavyojiandaa kutunga usaha.

MWISHO
Kamati ya mawaziri w mikopo wa elimu aya juu Tanzania inapenda kuwakaribisha katika ujenzi wa Tanzania mpya na sisi kama kamati tupo tayali kuwapa ushirikiano wa hali ya juu pamoja na kuwashirikisha mpango wetu mpya wa namna ya kukusanya pesa za mikopo zilizokopeshwa kwa wanafunzi mara baada ya wao kuhitimu ili pesa hizo zitumiwe kuwasaidia wa Tanzania wengine wanaohitaji huduma hiyo. kama mtatupa FULSA ya kutusikiliza tupo tayali kuwapa raslimali watu na maarifa ya kulifanikisha hili.

IMETOLEWA NA
SHITINDI VENANCE
MWENYEKITI WA KAMATI YA MAWAZIR WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU TANZANIA.
0759704444.
 
Kila kitu kina mwisho. Hongereni!

Huyo Mkurugenzi mkuu wa bodi hajawahi kuwa na historia nzuri. Tatizo ni makuzi. Nasikia alianzia kazi benki yetu ya NBC hapo zamani. Kwa maana nyingine alizoea misheni za wizi pamoja na bonasi za kijinga.

Mara hii watafute mtu toka chuoni anayefahamu matatizo ya wanafunzi badala ya kutuleta wahasibu ambao wanawaza kuiba tuuuu!
 
Mchunguzi, hapana huyu Mtendaji mkuu wa bosi ya mkopo alianzia postal bank na sio NBC. Vyema kabla hamujaweka taharifa ya wasifu wa mtu jaribu kuwa na uhakika na unachoandika
 
TAMKO LA KAMATI JUU YA UTUMBUZI WA JIPU LA BODI YA MIKOPO.

Kamati ya mawaziri wa mikopo ya elimu ya juu nchini Tanzania tumepokea kwa furaha kubwa taarifa ya kiutendaji juu ya kuondoshwa kwa wakurugenzi mizigo katika bodi ya mikopo ya elimu ya juu.

Licha ya ukweli kuwa kitendo hiki cha kishujaa kimecheleweshwa sana kufanyika na hivyo kufanywa katika wakati ambao tayali watendaji hao wamesha watesa sana watoto wa mafukara na walipakodi watiifu wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania.

Mpaka sasa wanafunzi zaidi ya 6000 nchini hawajalipwa stahiki zao yaani pesa za kujikimu hawa ni wale wa muamara safilisho (transfer) pamoja na wele waliocheleweshewa pesa zao pasi na sababu za msingi. Hawa wanaidai bodi hii zaidi ya shilingi million 1.2 kila mmoja wao. Haya ndiyo makovu wanayotuachia watendaji hao ambao hawapaswi kusikilizwa wala kurudi ofisini hata kwa dakika moja.

Watendaji hawa wanaondondolewa huku wakituacha na idadi ndogo ya wanafunzi wa mwaka wa pili, watatu na wanne wachache wanaonufaika na mkopo nchini Licha ya ukweli kwamba wengi wao wanazo sifa za kupata mkopo na wameomba mkopo huo mara kadhaa Bila kusikilizwa wala kusaidiwa hii imepelekea wengiwao kuacha masomo na kurudi kijijini kuunganisha na vijana wengine wanaojishughulisha na sela ya kilimo kwanza iliyotungwa na inayoimbwa mjini.

Kinachosikitisha ni Kuwa mabepari hawa eti walikuwa na pesa za kuwalipa yatima na mafukara hawa na badala yake wakanunulia magari ya kifahari na kujenga majumba mithili makasili ya kiarabu pasi hata kumuogopa mungu waliweza kusababisha baadhi ya wanafunzi kufukuzwa chuo mwaka 2011 kwa kosa la kuhoji juu ya matumizi mabaya ya pesa za mikopo ya wanafunzi

Wakati wa utawala wa mabepari hawa ilikuwa ni jambo la kawaida sana wanafunzi kucheleweshewa mikopo yao ambayo kimsingi ni haki yao ya kimkataba na watapaswa kurudisha tena kwa Riba kubwa ya asilimia 17 mpaka pale tulipo goma au kufanya mashinikizo ndipo tulipewa pesa hizo. Mfano ni chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka 2015 pesa ilicheleweshwa kwa muda wa wiki Tatu lakini siku waliofanya shinikizo ndipo bodi ilitoa pesa siku hiyo hiyo.

Kwa haya na mengine mengi ambayo kamati iliyapeleka mezani kwa waziri mkuu Mh Khasim Majaliwa kupitia barua ya tarehe 28/12/2015 na waziri wa Elimu kupitia kikao cha tarehe 30/12/2015 na baadae tarehe 12/01/2016 pia kupitia
Waraka wa kwanza wa watoto wa mafukara kwa bodi ya mikopo na Waraka wa pili wa watoto wa mafukara kwa bodi ya mikopo na mwisho Waraka wa kamati ya mawazir wa mkopo kwa wazir mkuu. Yote haya yalikuwa ni matokeo ya maumivu makali tuliyoyahisi toka katika ya kuta za utumbo mnene mpaka akilini mwetu kuashiria njaa kali iso kifani.

Hivyo kamati inatoa pongezi za dhati kwa Serikari ya awamu ya tano kupitia wizara ya elimu kwa kutuepusha wasomi na kikombe hiki cha pilipili ya moto tulichokuwa tukilazimishwa kufanywa.

RAI YETU.
Kwa wateuzi wa watendaji wapya
Tunataraji mtatuteulia watu makini na wenye uchungu na taifa hili watu wanaojua kuwa elimu ndio afya ya Taifa hili na wanaojua fika athali za kucheza na elimu kuwa ni kuangamiza taifa letu .

Watakaoteuliwa
Wajue fika kuwa wanafunzi wa elimu ya juu ni watu wazima tena wenye uwezo makubwa wa kuchambua na kupembua mambo hivyo hawatoyumbishwa khatu na wababaishaji.

Wanafunzi wengi wa elimu ya juu ni wa Tanzania wa kipato Cha Chini hivyo kwa kiasi kikubwa maisha yao yanajiegemeza katika bodi hiyo ya mikopo. Na mpaka sasa yapo madai yao makubwa ya kuwashughulikia katika kipindi cha mda mfupi.

Pia kamati inawashauri kupitia upya mapendekezo ya tume ya Profesa Maboko iliyoundwa mwaka 2011 na kutoa mapendekezo ya uendeshwaji wa bodi hiyo.

Huu uwe mwanzo tuu wa kuyashughulikia watendaji wabovu katika bodi hiyo na watendaji wataochaguliwa wasisite kuchukua hatua dhidi ya watendaji waliochini yao kabla ya wao kuchukuliwa hatua kwa uzembe wa vijichunusi hivyo vinavyojiandaa kutunga usaha.

MWISHO
Kamati ya mawaziri w mikopo wa elimu aya juu Tanzania inapenda kuwakaribisha katika ujenzi wa Tanzania mpya na sisi kama kamati tupo tayali kuwapa ushirikiano wa hali ya juu pamoja na kuwashirikisha mpango wetu mpya wa namna ya kukusanya pesa za mikopo zilizokopeshwa kwa wanafunzi mara baada ya wao kuhitimu ili pesa hizo zitumiwe kuwasaidia wa Tanzania wengine wanaohitaji huduma hiyo. kama mtatupa FULSA ya kutusikiliza tupo tayali kuwapa raslimali watu na maarifa ya kulifanikisha hili.

IMETOLEWA NA
SHITINDI VENANCE
MWENYEKITI WA KAMATI YA MAWAZIR WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU TANZANIA.
0759704444.

Poleni sana na hongereni sana, ingawa hatua hii imekuja imechelewa sana kiasi kwamba watoto Wa masikini wamedhulumiwa mno kwa muda mrefu. Tunaomba serikali hii isiishie hapo ila uchunguzi kamili ufanyike Na wafikishwe mahakamani ili wapewe adhabu stahiki.
Vitendo vyao vimechangia kuzima ndoto za watoto wetu wengi hadi wengine kuingia kwenye ukahaba na matendo hatarishi. Hawatasamehewa mioyoni mwa watoto hawa Na wazazi masikini waliohangaika kuwafikisha watoto hawa kwenye hatua hii iliyozimishwa ghafla Na hawa mabazazi. Hakika Mungu wa huruma yu hai atawaadhibu kwa wakati wake.
 
Kazi kubwa ya Bodi ni kukusanya mirejesho ya mikopo plus interest kutoka kwa waliokopeshwa au wadhamini wao.
 
Back
Top Bottom