Recent content by kabwando

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamishwa ubora wa Toyota ISIS

    Ndugu wana JF Natumaini mpo bukheri wa afya njema. Tafadhari naomba msaada wa kufahamishwa ubora wa Toyota ISIS hasa uimara,upatikanaji wa vipuri, ulaji wa mafuta na kadhalika.Nimatumaini yangu nitapata msaada na kuelimishwa zaidi juu ya aina hii ya gari. NAOMBA KUWASILISHA .
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

    Kandele ni PM tuongee zaidi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Toyota Voltz au Honda CR-V

    asante kwa ushauri wako kiongozi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Toyota Voltz au Honda CR-V

    nashukuru kwa ushauri
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada Toyota Voltz au Honda CR-V

    Ndugu JF wenzangu nami nataka niingie kwenye ukoo wa kumiliki chombo cha moto, gari ninazo zipenda ni hizo, nataka kuagiza moja wapo toka Japan, hivyo naomba ushauri kwa wenye uzoefu juu ya magari hayo ulaji wa mafuta, spare, uimara nk. NAWASILISHA HOJA
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (mke)

    nakushukuru kwa kunitakia kila la kheri
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (mke)

    Natafuta mwenza (mke) umri miaka 25 - 35 mwenye kujielewa , elimu kidato cha nne na kuendelea,dini yoyote. umri wangu ni miaka 35 elimu digrii kazi ni mjasiliamali naishi Dar kwa aliye tayari tafadhari ni PM
Back
Top Bottom