Kweli kiongozi nami naunga mkono hoja kuna jamaa yangu alinunua hiyo HONDA huwa ikialibika huwa anazunguka saana kutafuta vipuri.chukua voltz toyota sababu ina engine kama rav 4 ,opa na aina nyinginezo sababu ina engine ya 1ZZ FE na ubaya au uzuri wa toyota spare zake zinaingiliana sana.
sio kwamba voltz ni bora zaidi hapana bali honda upatikanaji wake wa spare ni shida kidogo kwa tanzania.siunajua wanao uza spare wanaleta kutokana na uwingi wa magari yapi yapo??
lasivyo likiharibika uwe unavuta subira kwa kuliweka kwa mda ukitafuta spare kwanza
Ok! nashukuru kiongoz maana nami sikuwa tofauti na ,mtoa mada.Chukua Toyota Volts utafurahi
Nashukuru kwa ushauri kiongozi.toyota nyingi sana.zipo sawa tuu mkubwa maana ukianzia kwenye spare za engine mpaka.control zake ni hizo.hizo tuu huwa zinaingiliana.hapo wanachofanya toyota ni kubadilisha body tuu.ila engine ndio hizo hizo na familia ya zz naona ndio inasifika sana.kwa ulaji mzuri wa mafuta.
maana asilimia kubwa ya gari zote ndogo za toyota zina engine za familia ya zz 1ZZ ,1AZ,1NZ,2NZ,1SZ n.k
nashukuru kwa ushauriVoltz pia achana nazo, kama mfuko uko powa bora uchukue Rav 4 za zamani.
Voltz siyo Toyota, ingia google upate majibu.
asante kwa ushauri wako kiongozitoyota nyingi sana.zipo sawa tuu mkubwa maana ukianzia kwenye spare za engine mpaka.control zake ni hizo.hizo tuu huwa zinaingiliana.hapo wanachofanya toyota ni kubadilisha body tuu.ila engine ndio hizo hizo na familia ya zz naona ndio inasifika sana.kwa ulaji mzuri wa mafuta.
maana asilimia kubwa ya gari zote ndogo za toyota zina engine za familia ya zz 1ZZ ,1AZ,1NZ,2NZ,1SZ n.k
mkuu kama voltz sio toyota ni nani sasa??Voltz pia achana nazo, kama mfuko uko powa bora uchukue Rav 4 za zamani.
Voltz siyo Toyota, ingia google upate majibu.
mkuu kama voltz sio toyota ni nani sasa??
acha kukalili maisha mkuu rav 4 old model leo bado unaziwazia?? huko wazungu washakimbia zamani sana mzee
eleza unachokijua mkuu juu ya toyota voltz sio kunikimbizia google ww siusha fanya hivyo why usitwambie hapa?? mm najua kuwa ina engine ya 2ZZ FE spea zoote zinaingiliana na za toyotaGoogle mkuu, utapata majibu mazuri tu.
eleza unachokijua mkuu juu ya toyota voltz sio kunikimbizia google ww siusha fanya hivyo why usitwambie hapa?? mm najua kuwa ina engine ya 2ZZ FE spea zoote zinaingiliana na za toyota
thibitisha mkuuVoltz sio Toyota, nimekwambia hivyo Ili upate info kamili.
thibitisha mkuu
Voltz pia achana nazo, kama mfuko uko powa bora uchukue Rav 4 za zamani.
Voltz siyo Toyota, ingia google upate majibu.
Ni Toyota na ina nembo ya ToyotaVoltz sio Toyota, nimekwambia hivyo Ili upate info kamili.
Ni Toyota na ina nembo ya Toyota