Watoto walikuwepo wengi tu warembo tena gate kali maana hayo Madison yote niliyoyataja yalikua yanapiga Sunday boggie kuanzia saa 4 asubuh hadi saa 2 usiku
Kila nabii na zama zake sisi kwa kweli ndio tulikula raha dar enzi za RSVP disco ,YMCA,msasani beach,Rungwe Oceanic,Silversands, Magott enzo hizo ukimwi nadra!
Watu elimu ya gesi hawana ndio maana kila siku wanalalamika,unaponunua gesi hakikisha unapima tena kwenye mzani wa digital.Kwanini mzani wa digital ?kwasababu hauibiwi hata point 1,ununuaji wa gesi upo wa mtungi mdogo 6kg, mtungi wa kati 15kg na mkubwa 38kg.Kwahiyo unaponunua mtungi mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.