Hivi Rais wa Tanzania kwenye safari zake za nje ya nchi uwa anaambatana na watu wa sekta mbali mbali kama vile wajasiriamali wadogo wadogo ili wakapate exposure na kutafuta fursa!? Au ni government officials tuu ndio wanaruhusiwa?
Watu wa pwani wakipata nafasi au fursa lazima wajiburudishe wao na mashoga zao..it is a good style in a way.. tatizo naona hapa watu wengi wanahofia Kodi zao..Ila Malawi kule lazima aende..pia msisahau, yeye ndio amekua akituwakirisha tangia 2015...naona Mambo magumu ya Magu kawaachia akina...
Leo nimeenda Bank kuchukua pesa ambazo kabla sijaanza kuwapatia wanihifadhie tulipeana masharti.
Cha kushangaza Leo nimeenda branches mbili zote walinzi wao (ambao hawakuwepo wakati nawekeana makubaliano na bank kuhusu vigezo na masharti) wakanizuia kuingia ndani kuchukua pesa zangu Kwa kigezo...
Kakitia chama hasara, hizo sales za week nzima Nani atazigharamikia, after all,keshasimamisha viongozi wahusika, kwanini ademke kufanya maamuzi yasiyo na tija Kwa chama, hivi akitokea mama hadharani akasema hatogombea.. itakuaje!?
the basis of all the definitions given by scholars all over the world and. -the real issues involved in terrorism , terrorism could be defined here as an act or threat of an act of tactical violence by a group of trained individuals, having international linkage, to achieve political objective.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.