CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na kuwasimamisha Watendaji Wakuu watatu

Movie za kihindi!

Kwanza mjiulize hayo mamlaka kayapata wapi?

Labda aseme wameamua kusitisha uchapishaji kwa muda wao kama wamiliki na sio kulifungia unless atuambie amelifungia kwa kutumia sheria na kwa mamlaka gani aliyonayo.
Kakitia chama hasara, hizo sales za week nzima Nani atazigharamikia, after all,keshasimamisha viongozi wahusika, kwanini ademke kufanya maamuzi yasiyo na tija Kwa chama, hivi akitokea mama hadharani akasema hatogombea.. itakuaje!?
 
Hana haki ya kufungia gazet kwa sababu Ya kukiuka sheria za uchapishaji na utoaji wa taarifa.

Gazet ni la ccm lakini linapotoa taarifa kinyume na utaratibu linapaswa kuadhibiwa kulingana na sheria ya vyombo vya habari na mamlaka ya habari iliopo chini ya waziri wa habari.

Hii ni kuingilia kazi za mamlaka zingine, kwahio na magazet mengine yakichapisha habari mbaya wajipe adhabu wenyewe? Kama ndivyo waseme ndio ili tujue.

Kwa kuchapisha taarifa ya uongo Je! Kama kuna faini watalitoza hilo gazeti faini?

Wasilete drama waachie mamlaka kaxi yake wao ndo wanajua kanuni na sheria zote za uendshaji wa vyombo vya habari.

Hata hivyo limeuzika sana leo kuliko gazet lingine lolote na limeisha mapema sana.
 
Uhuru ni gazeti la chama na yeye ni mtendaji mkuu wa chama hivyo ana mamlaka kamili ya kusitisha uzalishwa wa gazeti ambalo lipo chini ya utendaji wake.
Kama hivyo aisimamisha na timu bambika bambika.
 
Si sahihi Katibu Mkuu wa CCM kusema amelifungia gazeti bali aseme ameagiza usitishwaji wa uchapishaji/uzalishaji wa gazeti hilo.
Yupo Waziri mwenye dhamana na magazeti ndiye angetoa tamko kama gazeti hilo limekiuka misingi ya kusajiliwa kwake!..
Akisitisha uchapishaji na akalifungia kuchapisha tofauti ni nini?
 
Hana haki ya kufungia gazet kwa sababu Ya kukiuka sheria za uchapishaji na utoaji wa taarifa.
Gazet ni la ccm lakini linapotoa taarifa kinyume na utaratibu linapaswa kuadhibiwa kulingana na sheria ya vyombo vya habari na mamlaka ya habari iliopo chini ya waziri wa habari.
Hii ni kuingilia kazi za mamlaka zingine, kwahio na magazet mengine yakichapisha habari mbaya wajipe adhabu wenyewe? Kama ndivyo waseme ndio ili tujue.
Kwa kuchapisha taarifa ya uongo Je! Kama kuna faini watalitoza hilo gazeti faini?
Wasilete drama waachie mamlaka kaxi yake wao ndo wanajua kanuni na sheria zote za uendshaji wa vyombo vya habari.

Hata hivyo limeuzika sana leo kuliko gazet lingine lolote na limeisha mapema sana.
Yaani unachosema ni kuwa mgahawa wako ukigundua wahudumu ni wachafu usisitishe huduma kwa siku kadhaa kusafisha ili watu wasipate kipindupindu subiri mpaka bibi afya aje aufunge maana ndo mwenye mamlaka na anajua kanuni na sheria za migahawa.
 
Wewe ukimuambia dereva wako apaki gari lako Kwa Siku saba ataweza kukuuliza wewe ni trafiki polisi?
Tatizo ni ili...kulinganisha vitu bila kujua na sababu yake ni elimu duni...Aya sasa pingana na maamuzi ya Serikali ambayo nimesema ndiyo sahihi
 
Yaani unachosema ni kuwa mgahawa wako ukigundua wahudumu ni wachafu usisitishe huduma kwa siku kadhaa kusafisha ili watu wasipate kipindupindu subiri mpaka bibi afya aje aufunge maana ndo mwenye mamlaka na anajua kanuni na sheria za migahawa.
Tofautisha kufungia na kusitisha kutoa huduma.

Kwahio champion nao wakipotosha wakipe adhabu wenyewe?
 
Ukifungia na ukasitisha kutoa huduma tofauti ni nn?
Champion watendaji wakileta habari ambazo mwenye gazeti hazitaki akasitisha huduma kuna tatizo?
 
Kwani mmiliki wajibu na mamlaka yake ni ipi kwa chombo kinachotekeleza majukumu kisheria,au hao wamekiuka sheria ipi,au mmiliki amejigeuza hakimu wa kujitegemea.
 
Mmiliki sheria inamruhusu kuadhibu ofisi yake kwa namna inayofaa bila kuvunja sheria za nchi.

Ndo maana nikakwambia, ukigundua mgahawa wako wahudumu ni wachafu ukaufunga kwa muda usafishe hujavunja sheria.
 
Back
Top Bottom