Hueleweki hata kidogo, sio kalamu ya Great thinker hata kidogo. Utaifa hupewa na Mungu,achana na hizo pasi za kusafiria, hizo watu wanachukua kwa ajili ya kusafiria tu.
Kwanza huu ni upuuzi, mtu anakuaje na vyeo viwili kwenye wizara moja. Mimi sijawahi ona kabisa.
Kwani hakuna watu wengine wenye uwezo wa kazi ya DG? Hii nchi ya viwonder kweli kweli
Mwendazake alijipambanua kama mzalendo, lakini kwa maoni yangu mimi naona hakuwa Mzalendo, ila alikuwa na ajenda yake ambayo alitaka kuipitisha kupitia neno la uzalendo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.