DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

Baada ya kutusumbua kwa miaka 5 kwa kesi ya uongo ya uchochezi, DPP ameifuta kesi hiyo. Lakini bado kuna kesi nyingine 5 za uongo dhidi yangu & mamia nyingine dhidi ya viongozi, wanachama & Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe. Zote hizo zinatakiwa kufutwa bila masharti yoyote- Tundu Lissu...
"hundreds more still face our members, including Chairman Mbowe."
English mbovu huku akijigamba uelevu.
 
Mtu ukiwa na makesi kama Lissu lazima ujitafakari kuwa una shida sehemu haiwezekani usingiziwe wewe tu au uonewe wewe tu Lissu angekuwa mtulivu ni kiongozi mzuri lakini atashangaa taaluma yake na uwezo wake kiuongozi hautumii anabaki kushindana na makesi kila siku
Umekuja na id nyingine bro
 
Hakuna cha shida,ila nimopambanaji dhidi ya wale wasio penda haki na wavambikiaji wote.
 
Chadema haina nguvu and blah blah blah

Kuleni mafi yenu

Hii nchi mtake msitake lazima muiendeshe kwa kutulia with sober minds!
Huwa napata image ya wewe kama mtu makini, reasonable, muona ukweli, not partisan... and the like, Kumbe na wewe ni wale wale wa 8million with three ideas!
 
Ana kesi zaidi ya 5. Hiyo ni 1. Wanatakiwa kufuta zote, maana zilikuwa za kijinga, zenye lengo la kuwafanyiamental torturena usumbufu.

Hii 1 imefutwa ili mamy apate chakusema kwa wastaarabu Duniani kuwa na yeye ameanza kustaarabika.
hopefully watazifuta zote siku ya mention ikifika. Mwanza mwema to me ingawa bado njia ndefu
 
Itakuwa ni mbinyo wa mabeberu!
Ndo tunapokwama hapo, kwa kudhani Mabeberu wanaweza kuwa na msaada wowote kwetu! Nikukumbushe tu kwamba huko Rwanda juzi tu hapa kuna mtu kala mvua kadhaa kwa kesi ya kipumbavu kabisa! Sijui hao mabeberu walikuwa wapi!!! Na hakika tutaweza kuwatoa CCM madarakani a moment tutakapofahamu kwamba hawa mabeberu hawana msaada wowote! Hao mabeberyu wangekuwa wanatujali sana, kusingekuwa na mambo ya ovyo kwenye siasa za Afrika lakini leo hii ni pande ipi ya Afrika tunaweza kusema utawala unafanya siasa mzuri dhidi ya wapinzani, na jamii kwa jumla?
 
Unapotendewa jambo jema, ustaarabu ni kushukuru kwa yote hata kama ulionewa. Natoa wito kwa Tundu Lissu, amshukuru sana Mama Samia

Ila pia sitashangaa iwapo shukrani haitatolewa kwasababu baadhi ya wenzetu hawana shukrani.
P
Pascal Mayalla , ashukumu si matusi rafiki, mfano mtu akuchukulie mke wako (samahani natoa mfano kwa kitu kinachoumiza nafsi ya watu wote duniani), kwa vile ana maguvu na madaraka, then anamrudisha, utampa /au utamshukuru kwa kukurudishia mke wako? (Labda kwa vile huyu hakuwa DPP wakati haya yanatokea kwa muktadha huo anaweza toa shukrani, sijui )

All in all, naungana na wewe maana huyu DPP hakuwepo wakati haya yanatendeka..............????????????
 
Ndo tunapokwama hapo, kwa kudhani Mabeberu wanaweza kuwa na msaada wowote kwetu! Nikukumbushe tu kwamba huko Rwanda juzi tu hapa kuna mtu kala mvua kadhaa kwa kesi ya kipumbavu kabisa! Sijui hao mabeberu walikuwa wapi!!! Na hakika tutaweza kuwatoa CCM madarakani a moment tutakapofahamu kwamba hawa mabeberu hawana msaada wowote! Hao mabeberyu wangekuwa wanatujali sana, kusingekuwa na mambo ya ovyo kwenye siasa za Afrika lakini leo hii ni pande ipi ya Afrika tunaweza kusema utawala unafanya siasa mzuri dhidi ya wapinzani, na jamii kwa jumla?
Post of the week, nakubaliana na wewe 100% umenena vema
 
Back
Top Bottom