Recent content by Kabraza

  1. K

    JamiiForums Tanzania Meck Sadick: Maji Dar, watakaoandamana wanapoteza muda wao

    Wamelewa madaraka hawa viongozi haya majibu sio ya kiongozi anayewajali watu wake....shame on you Mecky Sadick
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Wakuu naomba kurekebisha hapo hii sheria sio ya NSSF pekee bali ni ya mifuko ya jamii so PPF,PSPF,LAPF na mingineyo huu kweli ni uthibitisho wa viongozi wetu kufilisika fikra....
  3. K

    JamiiForums Tanzania Barabara za Juu kwa Juu kweli ni kwa ajili ya kupunguza msongamano?

    Mfamaji you are very right Tanzania mambo mengi zimamoto na huwa hatufanyi research ya kutosha hizi barabara zilizopo tu zenyewe kuzitunza zimetushinda lami zina vishimo,lami zina mawimbi ila watu wanataka kujenga za juu kwa juu....simple let's do the basics first barabara ziwe katika hali nzuri...
  4. K

    JamiiForums Tanzania A country of no HOPE

    Kabisa na mimi naamini wananchi tubadilike lakini tunaanzia wapi?labda nikuulize VISION ya nchi hii ni ipi?ndo tubadilike kuanzia wapi>>>>
  5. K

    JamiiForums Tanzania A country of no HOPE

    Kwa kweli hali ni mbaya sana hapa Tanzania haswa jiji la Dar tofauti na miaka ya nyuma watu wameuanza mwaka mpya jana lakini tayari wameshachoka hawana matumaini wapo wapo tu ndugu watanzania wenzangu tufanye nini ili hali viongozi wetu ndo hao kama vile wanaishi mwezini....:embarassed2:
Back
Top Bottom