Recent content by Kabondoma

  1. K

    KERO Manukato ya Mhudumu wa BM Coach yanaleta usumbufu kwa abiria

    kajipulizia ili akipita msisikie kikwapa. Hii ni kwa faida yenu abiria
  2. K

    Hivi ni akili , uoga au upumbavu kuhusu UTT ?

    UTT ni kwa ajili ya wastaafu. Ukishapata burungutu unarusha kule milion mia... unaendelea kusosomola kidogo kidogo hadi ufwe na kuacha urithi
  3. K

    Nimejikuta nachukia kula chakula chochote chenye asili ya Roho, naona kama nafanya ukatili

    Uko sahihi. fuatisha nafsi yako inavyokuambia. hata hivyo Mungu hakutuumba tule nyama. Tulianza kula nyama kwa tamaa zetu na dhambi zetu. Mungu alituumba tule matunda na mbogamboga ........ waroho wa nyama watakuja nishambulia niko tayari..... Wewe kula aina zooote za mboga mboga na utaenjoy...
  4. K

    Baadhi ya miradi ya uwekezaji inayoweza kufanywa na wastaafu

    Shida ya kutoelewa unachosoma. kustaafu ni kupumzika hutafanya kazi kama ulivyokuwa mwanzoni, hutaamka na kukimbizana kama mwanzo, hutashinda kazini kama mwanzo. Utapita kukusanya maokoto ina maana utakwenda kwenye shughuli zako ila si kwa ubize kama zamani, ni kama kusimamia na kuangalia tu...
  5. K

    Baadhi ya miradi ya uwekezaji inayoweza kufanywa na wastaafu

    Maana ya kustaafu ni kupumzika baada ya kufanya kazi kwa miaka yako 60 na kuchoka kimwili na akili. Sitarajii eti mtu anasaafu halafu aendelee na kufuga ua kulima au kufanya biashara. Ukistaafu unatakiwa kupumzika warume! kwa maana hiyo jiwekee sasa vituo vya kukusanya pesa ukishastaafu...
  6. K

    Hivi kweli pombe ni haramu kama usemavyo uislam mbona kuna ahadi ya mito ya pombe peponi?

    kwa hiyo pepeni ni full matingasssss. imani za kufikirika hizi hakuna ukweli wowote
  7. K

    Maisha ya waislam wakienda peponi

    mmmh kwa maana hiyo kutakuwa na kazi ya kupika na kupakua, kula na inyaaa, vyoo vitajaaa, takataka zitazalishwa. nani wa kupikia wengine? kuosha na vyombo vyaoooo.... uwiiiii kuoana tenaaaa:D:D:D basi mngebaki tu hapa hapa dunuani hakusa sababu ya kufariki
  8. K

    Hapa sasa ebu ona yeye ndio wewe

    Hiki cha Arusha original.....
  9. K

    Kwahiyo Peter Msechu anaumia wakifa viongozi tu ila hili la Kariakoo halijamuuma?

    Kama mpambaji msibani analipwa, mpishi analipwa, msema chochote analipwa, kwa nini mwimbaji asilipweeeeee tafakari chukuwa hatua
  10. K

    Siri nzito za biashara hutokaa uambiwe

    utamu wa ngoma uingie ucheze.... ingia utauona ulivyo
  11. K

    Siri nzito za biashara hutokaa uambiwe

    Hapo sio kuleta mvuto. Hapo ni ushirikina wa kuwapumbaza watu wasiende kwingine waje hapo bila kujali ubora wa bidhaa hata kama bidhaa zitakuwa zimeoza/zimepitwa na wakati kama hao samaki. huo ni ushirikina.
  12. K

    Siri nzito za biashara hutokaa uambiwe

    hivi ushirikina mnaujua au mnaigiza tu msiyoyajua
  13. K

    Dalili zifuatazo zinaonyesha utakapoolewa utateswa au kuteseka

    Wanaume hawajui wanataka mwanamke wa aina gani.. Akiwa mama wa nyumbani tegemezi wanasema ni mzigo hawamtaki tena. Akiwa mfanyakazi mwenye kipato chake pia hawamtaki ni malaya maana mawazo yao wanawake wanatoa unyumba maofisini. Kila upande una hasara na faida zake. Maisha hayana formula...
Back
Top Bottom