Recent content by kaboba360

  1. kaboba360

    Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Jaman Mm natafuta card ya runx au allex iliyochinjwa no D
  2. kaboba360

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari hivi pamoja na kupandisha gharama za kuunganisha umeme 27000 mpk 320000 Bado mkoa wa Ruvuma wilaya ya SongeaMITA za umeme ni changamoto?
  3. kaboba360

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu naweza pata body ya Runx au allex?
  4. kaboba360

    Biashara ya kukata magari

    Ndugu wana Jf nataman tujuzane kwa wale wanaojua ufanyikaji wa biashara hii kwan kumekua na wimbi kubwa la watu kusema kama gar umeichoka bora ukaikate sasa sisi wa mikoan tunashindwa kuelewa.
  5. kaboba360

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Boss nina runx tangu cc1500 ukiiwasha wakati imepoa kuna mliounatoka wa kugongq kwenye engines na oili ikishapanda ukazima gar na kuwasha tena huo.mlio unakua haupo sasa kunafund kaniambia engine imechoka kwahyo nibadil kununua ingine lakin mwingine anasema nibadili slepper,timing chain na...
  6. kaboba360

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Boss timing chain, timing chain tensioner na slepper za 1nz fe runx pamoja na rubber ya kwenye buti naweza kupata na ni sh ngap
  7. kaboba360

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu gari inawasha taa ya check ingine lakini ukizima gar na kuiwasha ukatembea kama km1 inawaka tena taa shida itakua n nn?
  8. kaboba360

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu hii bumper ya mbele inakuja na nn?
  9. kaboba360

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu bumper ya mbele na nyuma la Runx shilingi ngapi? Pamoja na taa za nyuma za runx
  10. kaboba360

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Samahan ndg zangun. Nina gari yangu aina ya runx inamis. Nmepeleka kwa fund kaniambia plug ziko poa pamoja na sehemu nyingine anasema ziko poa ila tatizo gari inamis ndugu zangu ntatatuaje hili tatizo mshale wa rmp uko juu ya moja na nnaambiwa ina bid ushuke chini ya moja tatizo linaweza kuwa...
  11. kaboba360

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Samahan.mkuu gari yangu aina ya runx inamis. Nmepeleka kwa fund kaniambia plug ziko poa pamoja na sehemu nyingine anasema ziko poa ila tatizo gari inamis ndugu zangu ntatatuaje hili tatizo mshale wa rmp uko juu ya moja na nnaambiwa ina bid ushuke chini ya moja tatizo linaweza kuwa wap ndugu zangu?
  12. kaboba360

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Samahan.mkuu gari yangu aina ya runx inamis. Nmepeleka kwa fund kaniambia plug ziko poa pamoja na sehemu nyingine anasema ziko poa ila tatizo gari inamis ndugu zangu ntatatuaje hili tatizo
  13. kaboba360

    Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

    Vw golf inasumbua sana kuwaka mpk uangaike nayo shida itakua nn wakuu hasa ukiizima usiku na kutaka kuiwasha asubuh
  14. kaboba360

    Picha: Magereza na Mambosasa waanza kuumbuka

    Najua bado unaakili za kushikiwa bwana mdogo sasa kama ww una akili sana, ndugu yako akifanya uhalifu akapelekwa kituoni nenda kawafanyie vurugu uone bajeti ya virungu inavyofanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom