Naona wanatengeneza mazingira ya kuwapa kitu ili walipe mapema. Wale watu wana mishahara mikubwa na marupurupu mengi kukwambia njoo mwezi mmoja wao wanaona kama ni kesho tu maana hawana njaa. Lakini kwa mtu asiye na kazi mweZ mmoja ni kama mwaka
Katika maeneo ambayo ukitaka kuona watanzania wanateseka kama wapo jehanamu ni katika hii mifuko ya Hifadhi ya jamii. NSSF na PSSSF usiombe uwe unafuatilia madai huko. Njoo kesho, njoo wiki ijayo nyingi sana. Unaweza ambiwa njoo baada ya wiki mbili mhusika yupo Training. Unaweza kwenda kila siku...
Unafanya kazi huko au kwakua unayaona magari yao yanapiga misele mjini na vijijini? Siri wanaijua wanaofanya kazi huko na kamwe hawawezi kukuambia ukweli
ujinga mtupu watu milion 1 sawa na wilaya ya Kigamboni ndani yake wana Raisi, makamu wawili wa Raisi, mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wa wizara, wakuu wa mikoa, wilaya, wakuu wa polisi mkoa, wilaya yaani basi hata mkoa wa Dar nao uwe nchi
unapoanza kuongea nae tu uwe na 25 ya lodge, 10 ya kumuachia, 10 ya kula na 5 maji ya kunywa. hii ni minimum. sasa huna kitu unaanza kusomesha akikukubalia unafanyaje?
Wanasiasa wanaharibu sana hii nchi. unavyovisikia jukwaani ni tofauti kabisa na hali ilivyo katika ground. wakiwa kwenye vikao kuanzia ngazi za wilaya mpaka Taifa unaweza dhani inchi inasonga mbele kwa speed kubwa sana kumbe ni tofauti. katika vikao tunasifiana na kuogopa kusema ukweli kwakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.