Recent content by Kabende Msakila

  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

    Mtesi hata akiishi miaka mingi haishi kujihukumu kwa aliowatesa - tuishi duniani kama wapitaji tu.
  2. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

    Ni taharuki! Siku ya mapumziko Ijumaa! Tanzania ni nchi yetu
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

    * mwenye Ofisi anasema walivamia; * Msemaji wa Serikali anasema hawakuvamia. * Sisi tuchukuwe lipi?
  4. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Hata ashushwe Malaika kuja kuwaongoza Watanzania Bado Watapiga Makelele na kutaka awafanyiage miujiza ya kuwawekea Mabomba ya asali na Maziwa Midomoni

    Hata wewe kwenye familia yenu kuna MTU alowahi:- Kupotea? Kujeruhiwa? Kuuawa? au Kuteswa? Malaika akishuka watu watapata madhila hayo?
  5. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Mbunge wako ameshawahi kuwasilisha hoja kama hizi bungeni? Utamfananisha na nani hapa Tanzania?

    I swear to almighty God! Nilianza utumishi seriklini 2003 nikiwa Polisi, afu 2010 - 2018 Afisa Takwimu lkn kote huko pamoja na fedha za mshahara wangu kukatwa NHIF lkn sikuwahi chukua hata tembe ya Panaldo. I was only challenging - shida za upatikanaji matibabu nazijua vzr. Sasa tufanyeje?
  6. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli awataka Wananchi wa Isaka kuendelea kuiamini CCM chini ya uongozi wa Rais Samia

    Sijajua kama na watoto wa Obama ni wabunge, anyway hongera zake kaanza mapema
  7. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Mbunge wako ameshawahi kuwasilisha hoja kama hizi bungeni? Utamfananisha na nani hapa Tanzania?

    * Kwenye afya Tanzania kuna shida yoyote? Naona mambo yako vizuri
  8. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye aenguliwa na INEC kumsaidia Esther Matiko

    Hatua kadhaa zinatakiwa - msichukie wala kucheka
  9. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Ni hatari kidogo tu
  10. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

    Wa bukoba ni wangapi? Duuuuu!
  11. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

    Hata leo ni fursa nyingine
  12. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Muulizeni Diamond Platinumz aliyewakodia Private Jet kwenda Nigeria walimlipa nini kama wao hawapewi pesa za bure? Aaache matusi kwa watanzania

    Msitukanane, Kuhusu diamond mwacheni - kasahau taabu za watanzania kwamba hazitokani na kutofanya kazi - zinachangiwa na vitu vingi
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Polepole: Tanzania tuna kaya 14,152,803 kwa bei ya Cuba mtungi wa gesi wa 10Kgm tunahitaji tzs 28.3B

    Team, Salaam! Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Tanzania ina kaya 14,152,803. Sasa kama tungekuwa na bei ya kununua mtungi wa gesi wa 10kgm kwa tzs 2,000 kama ilivyo nchini Cuba basi kaya zote hapa nchini tungetumia tzs 28,305,606,000/=. Sasa kwa kuwa na gesi inayouzwa...
  14. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Baada ya hapo kipi kilimpata?
  15. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

    Pendekeza ni lipi sasa?
Back
Top Bottom