Recent content by Kabegi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mjamzito anyang'anywa Vitu vya ndani kwa madai ya Mumewe kuuza Simu ya Wizi

    Je ikiwa hivyo vitu ni vya mwanamke,na amenunua kwa pesa zake. je kunaridhaa yoyote kutoka kwake!!? Mali ya mwanamke ni yake Mali ya mwanaume ni ya familia.
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

    Kwa hali hii tunasafali ndefu sana kama Taifa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi

    Waeleze na namna misingi ya kisheria kupata Uraia wa Tanzania ilivyozingatiwa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi

    Waeleze na namna misingi ya kisheria kupata Uraia wa Tanzania ilovyozingatiwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Aliyeng'atwa na Nyoka afia Kituo cha Afya kisa hana 150,000 Wilayani Babati

    Halafu unakuta kituo cha afya kimejengwa kwa nguvau za wananchi.!!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

    Kwa uteuzi huu muda si mrefu utafanyika Tena uteuzi mwingine, wengi walioteuliwa hawafit katika hizo position.
  7. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Ni sw Kwa tawala za zama hizi, Ni swala la muda tu Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Ni kuomba Mungu tu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wafafanua tukio la Wakili Lusako Alphonce kukikimbizwa na Polisi katika Ofisi za "Reachout Tanzania"

    Polis bongo siowakuamini kabisa, kwa taarifa hii ya misime, jamaa kafanya la maana sana kusepa, tusingekuwa tunajadili haya muda huu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania TRC: Treni za SGR zilisimama maeneo matatu tofauti kutokana na hitilafu ya umeme katika Gridi ya Taifa

    Hili lilitolewa tahadhali kabla hata mradi wa ujenzi wa reli yenyewe haujaanza.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wazawa wanaweza kujenga Reli na Barabara

    Tatizo siouzawa tatizo ni kukosa uzalendo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba Ujenzi wa madaraja 13 yaliyoathiriwa na mvua - Lindi, Tsh. Bilioni 140 kutumika

    Kwenye hii barabara ya kilwa mchakato uanze mapema sana, niyamuda mrefu sana tokea enzi za jerumani
  12. K

    JamiiForums Tanzania Buluba Mabelele: Kuikosoa Serikali ni muhimu, inasaidia Viongozi kufanya vizuri, Vijana wengi wamekuwa Chawa

    Amenena vyema comrade, Nina wasiwasi anaweza kuundiwa zengwe na chawa kuwa ni sukuma gang!!
Back
Top Bottom